Nani yupo nyuma ya project ya kulipa bajaji zilizobandikwa picha za Rais Samia?

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2019
Posts
9,863
Reaction score
20,806
Wakuu,

Kutokana na uchunguzi wa kuaminika kuna Bajaji zilizobandikwa picha za mheshimiwa Mama yetu hapa Dar es salaam maeneo ya ilala, kinondoni, Temeke na maeneo mengine na wahusika wamekuwa wakilipwa KWA mwezi 70000/= KWA kinondoni,30000/= ilala na maeneo kama temeke na kwingineko!je malipo haya nani anayalipa!!?!!?
Lengo ni nini!!?
Asante

 
Shaka Zulu
 
Hakubaliki ,wanalazimisha projects za kwamba akubalike ,hivyo analiwa sana
 
Watu wana creat vitu wanajua watapiga hela kwenye uchapishajiwa hayo mabango na kuwalipa hao watu wenye bajaji ili mambo yao yaende ila haitawasaidia kila mtu sasa hivi akili mkichwa ukifika kwenye box la kura unajua cha kufanya kumbuka yoteee uliyopitia hasa kipindi hiki kigumu kisha fanya maamuzi
 
Rekebisha Avatar yako!
Siyo RAISI× ni RAIS✓
 
Wewe na wapuuzi wenzako mnampotosha huyo mnayemuita mama yenu, halafu unajifanya kuhoji…. huogopi laana kupambana na mama’ko?
 
Ikumbukwe CCM inadaiwa billions na walio print kofia,nguo nk uchaguzi uliopita, pesa hii CCM wataitoa kwenye Kodi zetu
Hata hayo ma bajaji Kama kweli wanalipwa Basi tunaibiwa

Shigongo alilipwa jimbo, mwingine nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…