Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani akina Cyprian Musiba & Mwita waitara na waunga juhudi za mfalme Zumaridi nani alikuwa akiwapatia pesaNani anawapa ?
sisi chawa. unasemaje?Wakuu
Kutokana na uchunguzi wa kuaminika kuna Bajaji zilizobandikwa picha za mheshimiwa Mama yetu hapa Dar es salaam maeneo ya ilala, kinondoni,temeke na maeneo mengine na wahusika wamekuwa wakilipwa KWA mwezi 70000/= KWA kinondoni,30000/= ilala na maeneo kama temeke na kwingineko!je malipo haya nani anayalipa!!?!!?
Lengo ni nini!!?
Asante
View attachment 2226915
Hongereni !!mtupe na sisi tenda tuna njaa Sana!!s
sisi chawa. unasemaje?
Hoja ni nani anawalipa na ni kwanini walipwe.Mbona kawaida sana bwashee.
Wewe bandika ya Halima Mdee ukipenda
Kwani wewe kuvaa jezi ya Yanga unalipwa na nani?Hoja ni nani anawalipa na ni kwanini walipwe.
ThubutuMapenzi na Rais wao, hakuna...
Kizuri chajiuza kwa kuuwa na kuteka Watu?Kaka kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.
Mbona hata ya Jokate ilibandikwa?Mbona kawaida sana bwashee.
Wewe bandika ya Halima Mdee ukipenda
Hahaha kwa moto aliokupelekea huwezi kumsahau ulijambishwa sana we kirobotoKwani akina Cyprian Musiba & Mwita waitara na waunga juhudi za mfalme Zumaridi nani alikuwa akiwapatia pesa
Yaani wewe umefanya UCHUNGUZI WA KUAMINIKA, ukapata picha za BAJAJ, Ukajua kiwango wanacholipwa sasa si UWAULIZE HAOHAO NANI ANAWALIPA ILI ULETE MAJIBU HUMUWakuu,
Kutokana na uchunguzi wa kuaminika kuna Bajaji zilizobandikwa picha za mheshimiwa Mama yetu hapa Dar es salaam maeneo ya ilala, kinondoni, Temeke na maeneo mengine na wahusika wamekuwa wakilipwa KWA mwezi 70000/= KWA kinondoni,30000/= ilala na maeneo kama temeke na kwingineko!je malipo haya nani anayalipa!!?!!?
Lengo ni nini!!?
Asante
View attachment 2226915
Yaani wewe umefanya UCHUNGUZI WA KUAMINIKA, ukapata picha za BAJAJ, Ukajua kiwango wanacholipwa sasa si UWAULIZE HAOHAO NANI ANAWALIPA ILI ULETE MAJIBU HUMU
[/QUOTE
Asante nasubiri!!
Box la kura si chochote si lolote, box la kura Ni rubber stamp. Tz kushinda uchaguzi na kutangazwa mshindi Ni vitu viwili tofauti, ndio maana mwamba anaomba maridhiano ili angalau apewe majimbo machache. Refer 2020Watu wana creat vitu wanajua watapiga hela kwenye uchapishajiwa hayo mabango na kuwalipa hao watu wenye bajaji ili mambo yao yaende ila haitawasaidia kila mtu sasa hivi akili mkichwa ukifika kwenye box la kura unajua cha kufanya kumbuka yoteee uliyopitia hasa kipindi hiki kigumu kisha fanya maamuzi
Kama ndiyo hivi,Nikipewa mtonyo na bandika na Mimi!!
Hilo ni shaka!! Tu hayana ukweliWakuu,
Kutokana na uchunguzi wa kuaminika kuna Bajaji zilizobandikwa picha za mheshimiwa Mama yetu hapa Dar es salaam maeneo ya ilala, kinondoni, Temeke na maeneo mengine na wahusika wamekuwa wakilipwa KWA mwezi 70000/= KWA kinondoni,30000/= ilala na maeneo kama temeke na kwingineko!je malipo haya nani anayalipa!!?!!?
Lengo ni nini!!?
Asante
View attachment 2226915