Nani yupo nyuma ya project ya kulipa bajaji zilizobandikwa picha za Rais Samia?

Kaka kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.
 
Chawa wa Chief Hangaya ni veeeery bright, hapo watamkamua Hangaya hadi 2025 watakuwa mamilionea.
 
Nchi hii inawafanya watu ni mafala kwa kujitengenezea namna ya kupiga hela kirahisi. Sasa hivi njia nyepesi ni kumsifia mama Samia kwa gharama kubwa kwani naye anapenda sana sifa za aina hii.
Lakini hao mafala wanao wanao waona wao ni pamoja na vijana wetu wanaolinda nchi hii.
Kuna siku vijana hawa watashtuka kuwa WANAONWA MAFALA KUMBE! Ndio jambo litakuwa jambo

 
Ni walimu wameamua kugawa zile nyongeza za mishahara yao
 
Mama ana uchu wa madaraka uliopitiliza
 
Serikali, vinginevyo wangeamriwa waziondoe.
 
Morogoro mjini nimeona bajaj nyingi zimebandikwa Konde boy na Platinumz!
Kumbe wanalipwa!?
 
Wewe hujiulizi kwanini VOTE ya Ikulu huwa haikaguliwi na wakati ni pesa za umma?
 
Shaka huyo na propaganda zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…