Nani yupo nyuma ya Uhuni huu kwa Sabaya?

Huyo wanamtia adabu tu ili liwe fundisho na ili afilisike asisumbue mjini, maana pesa na mamlaka vilimtia upofu.Huyo mwisho wa siku ataachiwa akiwa kapuku
 
Na hapo ndio chadema mnapojifelisha mbele ya Jamii.
Kwa mara nyingine huyu jamaa atawapiga chini tena.
Sabaya hajashitakiwa na CHADEMA, wala mahakama, haziendeshwi na CHADEMA, wewe pumbafu!
 
Sabaya hajashitakiwa na CHADEMA, wala mahakama, haziendeshwi na CHADEMA, wewe pumbafu!
Tunaijua nguvu kubwa ya Kweka DPP Msaidizi,mzaliwa wa Machame nyuma ya hizi kesi za SABAYA.

Kwa nini awe Kweka pekee kuzing'ang'ania kesi hizi. Wakati wako maafisa wengi kwenye kitengo hicho ambao wanaweza kuifanya kazi hiyo?

Kweka ni Mkwe wa MBOWE mwenyekiti wa CDM.

Na hapo ndio tunapoanzia kuwahusisha.

Hayo matusi yakurudie wewe mwenyewe kwa ufinyu wa uelewa wako wewesantesandy
 
Kwa maana hiyo, wewe ambaye huna ufinyu wa akili, CHADEMA inamshikilia mkuu wa zamani wa wilaya na kada wa ccm, kwenye mashitaka yake ya ujambazi?! Natamani CHADEMA ingekuwa na nguvu hiyo! Lakini siku zinakuja, mtashughulikiwa, majambazi wote na wake zao!
 
Wacha longolongo,itikia wito huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…