Nani yupo nyuma ya Uhuni huu kwa Sabaya?

Huelewi maana ya hiyo kauli, mtafute mtoto wa darasa la nne akufafanuli vizuri.
Tulishasema tunaachana yaliyopita tunaanza ukurasa mpya kama ilivyofanyika kwa mbowe,Lisu na wengineo sasa kwa upande wa Sabaya mbona mambo ni tofauti kama ilivyokuwa kwa hao wengine ambao hawaishi vihoja kila kukicha.Tusameheane jamani.
 
Hata kina mbowe walikamatiwa mikoani huko wakaenda kufunguliwa mashtaka mkoani Dar, so tuliza mshono dawa ukuingie. Ni mambo ya kawaida
 
SSH anajaribu kuwafurahisha chadema ili ajiongezee uungwaji mkono na kukubalika.
Kamwachia gaidi mbowe ili kuwafurahisha na kuwavutia chadema,
Anaendelea kumshikilia Sabaya ili kuwafurahisha chadema,
Orodha ya mambo yanayolenga kuwafurahisha chadema itaongezeka!
 

Huyo anafundishwa unyenyekevu ili kiburi kimtoke. Kijana mdogo anajiona amefika wakati kwanza ni mkuu wa Wilaya.
 
Hakuna sheria iliyofuatwa hapo.
Na hayo ndio makosa ambayo yalisababisha akaachiwa huru.
Na sasa yatajirudia tena.

Sabaya mwenyewe ameomba Mama Samiah aingilie Kati kesi yake. Hatimaye kiburi kimeanza kushuka.
 
Na hapo ndio chadema mnapojifelisha mbele ya Jamii.
Kwa mara nyingine huyu jamaa atawapiga chini tena.

Achana na CHADEMA ndugu. Ilaumu serikali inayopambana na Sabaya. Kila kitu CHADEMA huoni aibu?
 
Ujambazi upi ulioshindwa kuthibitishwa mahakamani?
Au ni uovu kumsababishia Mbowe kupoteza Jimbo la Hai?

Mashtaka ya Sabaya yamedhibitishwa Seema ni wanasheria vilaza wa serikali ya CCM wasio jua kufuata procedure na yule hakimu kilaza asiyejua kuandika hukumu.

Halafu MkuuWilaya unaenda kupambana kumtoa mtu kwenye ubunge? Hizo ndio kazi za ukuu wa Wilaya. Unamvamia mtu na silaha kwenye hoteli yake.
 

Kwa hivyo unakiri kuwa Rais anaingilia process za kisheria na kuamua kufungua kesi anavyojusikia ili kufurahisha upinzani?. Kweli nchi Ina laana.
 
Watu wengi wafuasi wa Mbowe huwa mmejaza matope vichwani na ndio maana matusi kwenu ndio IQ.

Nadhani kiturilo ndio anaongoza kwa matusi lakini ndio Mwana CCM hodari.
 
Unamtetea mwivi,jambazi,mbakaji,na mlevi-mbwa?Huna akili muhishimiwa.Narudia.Akili hazikutoshi.
 
Huwezi kutumia makosa kufuta makosa. Si sahihi kushangilia ukiukwaji wa sheria huku ukihubiri hicho hicho. Uzuri nchi hii siku atakuwa huru na kupewa madaraka! Shetani usimkemee huku unamchekea!

Madaraka kwa Tanzania hayana tija kwa sasa ilikuwa zamani. Kwa sasa mtu yeyote anaweza kuwa kiongozi, anayefaa na asiyefaa nobody cares. Lakini Cha muhimu ni jamii inafahamu Viongozi wasiofaa.
 
Kama nyie maharamia SUKUMA GANG mlivyokuwa mkisema enzi za Jiwe, basi fungueni 'kesi' mahakamani kuhusu 'uhuni' huo anaofanyiwa huyo Sabaya wako au kwa kuwa post yako inaonyesha una unaowahisi basi toa taarifa kwa jeshi la polisi.
Usitegemee hata siku moja ukapanda mihogo huku ukitegemea kuvuna mahindi, you reap what you saw. Let him pay his dues.
 
Tulishasema tunaachana yaliyopita tunaanza ukurasa mpya kama ilivyofanyika kwa mbowe,Lisu na wengineo sasa kwa upande wa Sabaya mbona mambo ni tofauti kama ilivyokuwa kwa hao wengine ambao hawaishi vihoja kila kukicha.Tusameheane jamani.
Ndiyo ukurasa mpya huu, hapa ni masuala ya haki na sheria hivyo tuache kila kitu kiende sawia. Kama ana jinai basi sheria ichukue mkondo wake kwani yeye hayuko juu ya sheria.
 
Karma - kwa sauti ya Pascal Mayalla
 

Hivi kama anataka kwenda kufunguliwa mashataka Moshi, ataenda kukaa wapo zaidi ya gereza la Moshi?

Akili ya wa Tanzania ni ya kijinga sana, hivi unafikiri ametoka Arusha bila utaratibu kufuatwa?

Mwacheni Sababu apambane na madhambi yake aliyofanya mdogo mdogo, pengine yataisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…