Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
CCM mlikuwa mnawaita Waandamanaji hawana mbinu. Mkasahau kizazi chao kina AI na AI imetumika katika vita huko IranHamjambo!
Miezi ya hivi karibuni kumekuwa na kelele na kauli nyingi zenye mrengo wa kuuvunja muungano.
Nani yupo nyuma ya vuguvugu hilo?
Kina nani wanatarajiwa kuwa wanufaika baada ya muungano kuvunjika?
Nafahamu kuwa wahusika wakuu watakuwa miongoni mwa Wanasiasa hasa ambao majina yao hayapo na hayatajwi tajwi kwenye Media.
Na Wafanyabiashara. Wanaohitaji kuunda mfumo mwingine. Huku Muungano ukiwa kizuizi cha mfumo huo mpya.
Wananchi wao sio wanufaika wala sio wapata hasara. Muungano uwepo usiwepo kwao mambo ni yaleyale.
Swali linabaki ni kina nani?
Ijumaa Kareem
Baada ya October 29 niligundua weakest point ya Tanzania ni muungano.Hamjambo!
Miezi ya hivi karibuni kumekuwa na kelele na kauli nyingi zenye mrengo wa kuuvunja muungano.
Nani yupo nyuma ya vuguvugu hilo?
Kina nani wanatarajiwa kuwa wanufaika baada ya muungano kuvunjika?
Nafahamu kuwa wahusika wakuu watakuwa miongoni mwa Wanasiasa hasa ambao majina yao hayapo na hayatajwi tajwi kwenye Media.
Na Wafanyabiashara. Wanaohitaji kuunda mfumo mwingine. Huku Muungano ukiwa kizuizi cha mfumo huo mpya.
Wananchi wao sio wanufaika wala sio wapata hasara. Muungano uwepo usiwepo kwao mambo ni yaleyale.
Swali linabaki ni kina nani?
Ijumaa Kareem
Leo umeandika mkojo wa punda mkuu hii mada umeandika kwa ufupi sana wakati ni mada ndefu saana yaan kichwa cha mada tu ni kirefu kuzidi mada yenyeweSwali linabaki ni kina nani?
Karata zinasukumwa kitaalamu sana.Nafahamu kuwa wahusika wakuu watakuwa miongoni mwa Wanasiasa hasa ambao majina yao hayapo na hayatajwi tajwi kwenye Media.
Na Wafanyabiashara. Wanaohitaji kuunda mfumo mwingine. Huku Muungano ukiwa kizuizi cha mfumo huo mpya.
Wanaharakati na chadema,umebahatika kuona video ikimuonesha rais wa TLS àkihubiri chuki za utanganyika na uzanzibar akimshutumu ssh kuchukua mali za 'watanganyika' kuipa Zanzibar?..ukristo na wakristo nchi hii ni janga,naqba,nakama,laana.. tangu JuliusHamjambo!
Miezi ya hivi karibuni kumekuwa na kelele na kauli nyingi zenye mrengo wa kuuvunja muungano.
Nani yupo nyuma ya vuguvugu hilo?
Kina nani wanatarajiwa kuwa wanufaika baada ya muungano kuvunjika?
Nafahamu kuwa wahusika wakuu watakuwa miongoni mwa Wanasiasa hasa ambao majina yao hayapo na hayatajwi tajwi kwenye Media.
Na Wafanyabiashara. Wanaohitaji kuunda mfumo mwingine. Huku Muungano ukiwa kizuizi cha mfumo huo mpya.
Wananchi wao sio wanufaika wala sio wapata hasara. Muungano uwepo usiwepo kwao mambo ni yaleyale.
Swali linabaki ni kina nani?
Ijumaa Kareem
CCM walitutukana sana sisi tunaondaa maandamanoKarata zinasukumwa kitaalamu sana.
Acha inyeshe, tutaona tu panapovuja.
Wanaharakati na chadema,umebahatika kuona video ikimuonesha rais wa TLS àkihubiri chuki za utanganyika na uzanzibar akimshutumu ssh kuchukua mali za 'watanganyika' kuipa Zanzibar?..ukristo na wakristo nchi hii ni janga,naqba,nakama,laana.. tangu Julius
Wanaweka pressure Ili awekwe emaHakuna wa kuvunja muungano. Inaonekana kuna watu wanahofia 2030 kuwa huenda yule wa kule akaletwa huku
Kuna ushahidi mwingi sana ambao tutauweka hapa ila sio kwa sasa na ushahidi huu unaonyesha asilimia 100 mwenye kutaka kuvunja Muungano ni Samia mwenyewe ndio kiongozi wa haya yote.Hamjambo!
Miezi ya hivi karibuni kumekuwa na kelele na kauli nyingi zenye mrengo wa kuuvunja muungano.
Nani yupo nyuma ya vuguvugu hilo?
Kina nani wanatarajiwa kuwa wanufaika baada ya muungano kuvunjika?
Nafahamu kuwa wahusika wakuu watakuwa miongoni mwa Wanasiasa hasa ambao majina yao hayapo na hayatajwi tajwi kwenye Media.
Na Wafanyabiashara. Wanaohitaji kuunda mfumo mwingine. Huku Muungano ukiwa kizuizi cha mfumo huo mpya.
Wananchi wao sio wanufaika wala sio wapata hasara. Muungano uwepo usiwepo kwao mambo ni yaleyale.
Swali linabaki ni kina nani?
Ijumaa Kareem
Wewe huwa una udini na chuki.Wanaharakati na chadema,umebahatika kuona video ikimuonesha rais wa TLS àkihubiri chuki za utanganyika na uzanzibar akimshutumu ssh kuchukua mali za 'watanganyika' kuipa Zanzibar?..ukristo na wakristo nchi hii ni janga,naqba,nakama,laana.. tangu Julius
Ni Sawa na Mke ambaye akiwa bado anakutegemea anakuheeshimu na anataka niendelee kuwa pamoja, baadae akipata fedha zake ambazo umemjenga anaanza kuona huna faidaHamjambo!
Miezi ya hivi karibuni kumekuwa na kelele na kauli nyingi zenye mrengo wa kuuvunja muungano.
Nani yupo nyuma ya vuguvugu hilo?
Kina nani wanatarajiwa kuwa wanufaika baada ya muungano kuvunjika?
Nafahamu kuwa wahusika wakuu watakuwa miongoni mwa Wanasiasa hasa ambao majina yao hayapo na hayatajwi tajwi kwenye Media.
Na Wafanyabiashara. Wanaohitaji kuunda mfumo mwingine. Huku Muungano ukiwa kizuizi cha mfumo huo mpya.
Wananchi wao sio wanufaika wala sio wapata hasara. Muungano uwepo usiwepo kwao mambo ni yaleyale.
Swali linabaki ni kina nani?
Ijumaa Kareem
Akina maria sarungi,hilder Newton na huyo mpuuzi wa TLS matamshi yao ni Tanganyika Zanzibar Tanganyika Zanzibar,sijui wanadhani muungano ukivunjika hakuna waislam Tanganyika!Wewe huwa una udini na chuki.
Hizo kauli muungano uvunjike nani kazitoa?
Mbona huwashambulii waislam waliozitoa hizo kauli tena wakiwa ccm?
Acha hizo, usiegamie upande mmoja.