Nani yupo nyuma ya vuguvugu la kuvunja Muungano

Nani yupo nyuma ya vuguvugu la kuvunja Muungano

Baada ya October 29 niligundua weakest point ya Tanzania ni muungano.

Watanganyika hawawezi kugombana kisa Dini au kabila, ila muungano una gape la utaifa wa Zanzibar
Jambo lingine linalogambanisha ni Ukiritimba wa CCM na kutumia vyombo vya dola kuteka, kutesa, kupoteza na kuua wapinzani, yaani CCM inawachukulia Wapinzani hasa Chadema kama wahamiaji haramu. Chaguzi zisizo huru na za haki ni mwiba mwingine unaoweza hata kuleta vita ya wenyewe kwa wenyewe.
 
Muungano uvunjike kila nchi inaweza kujitegemea... Na suala hili limekuja baada ya huyu kuwa Rais...kauli za wabunge wa zanzibar na wawakilishi zinaonesha zanzibar tiayali walishajianda kwa lolote .. wameshavuna mapesa ya sisi wajinga wa tanagaanyika sasa wanaanzisha chochoko....
 
Baada ya October 29 niligundua weakest point ya Tanzania ni muungano.

Watanganyika hawawezi kugombana kisa Dini au kabila, ila muungano una gape la utaifa wa Zanzibar

Weakest point ya Watanzania kukosa strong families.

Hiyo inapelekea wenye familia imara kuwanyanyasa wasio na familia imara.

Fikiria mtoto wako anatekwa hapo na bado utasema huna chochote chakufanya wewe kama wewe.
 
Akina maria sarungi,hilder Newton na huyo mpuuzi wa TLS matamshi yao ni Tanganyika Zanzibar Tanganyika Zanzibar,sijui wanadhani muungano ukivunjika hakuna waislam Tanganyika!

Kwanini mnawasingizia chadema?
Zile kauli nyingine za wabunge wa Zanzibar mbona hujazizhngumzia?

Msukuma hayuko sawa?

UISLAMU NI DINI YA HAKI
Ukiuangalia muungano una haki na usawa pande zote?
IMG_1553.png
 
Wanaharakati na chadema,umebahatika kuona video ikimuonesha rais wa TLS àkihubiri chuki za utanganyika na uzanzibar akimshutumu ssh kuchukua mali za 'watanganyika' kuipa Zanzibar?..ukristo na wakristo nchi hii ni janga,naqba,nakama,laana.. tangu Julius
Hawa wanaonyanyapaa Watanganyika hapa ni Chadema?
 
Weakest point ya Watanzania kukosa strong families.

Hiyo inapelekea wenye familia imara kuwanyanyasa wasio na familia imara.

Fikiria mtoto wako anatekwa hapo na bado utasema huna chochote chakufanya wewe kama wewe.
Hii ni kwa ujumla wake ila at national security level ni rahisi kuchochea sentiments za muungano
 
Wanaharakati na chadema,umebahatika kuona video ikimuonesha rais wa TLS àkihubiri chuki za utanganyika na uzanzibar akimshutumu ssh kuchukua mali za 'watanganyika' kuipa Zanzibar?..ukristo na wakristo nchi hii ni janga,naqba,nakama,laana.. tangu Julius

Wakristo ndio walianzisha Tanganyika Mkuu.

Alafu Zanzibar ilianzishwa na Waislam.
 
Hamjambo!

Miezi ya hivi karibuni kumekuwa na kelele na kauli nyingi zenye mrengo wa kuuvunja muungano.

Nani yupo nyuma ya vuguvugu hilo?
Kina nani wanatarajiwa kuwa wanufaika baada ya muungano kuvunjika?

Nafahamu kuwa wahusika wakuu watakuwa miongoni mwa Wanasiasa hasa ambao majina yao hayapo na hayatajwi tajwi kwenye Media.

Na Wafanyabiashara. Wanaohitaji kuunda mfumo mwingine. Huku Muungano ukiwa kizuizi cha mfumo huo mpya.

Wananchi wao sio wanufaika wala sio wapata hasara. Muungano uwepo usiwepo kwao mambo ni yaleyale.

Swali linabaki ni kina nani?

Ijumaa Kareem

Anayevunja muungano ni CCM kwa vitendo vyake vya kutokufuata katiba wala Sheria za nchi na sheria za uchaguzi
 
Kwanini mnawasingizia chadema?
Zile kauli nyingine za wabunge wa Zanzibar mbona hujazizhngumzia?

Msukuma hayuko sawa?

UISLAMU NI DINI YA HAKI
Ukiuangalia muungano una haki na usawa pande zote?View attachment 3611079
Hawa wajinga sana kila kitu lazima wasingizie Chadema, hata wakishindwa kuwapa mimba wake zao mchawi Chadema.
 
Kuna ushahidi mwingi sana ambao tutauweka hapa ila sio kwa sasa na ushahidi huu unaonyesha asilimia 100 mwenye kutaka kuvunja Muungano ni Samia mwenyewe ndio kiongozi wa haya yote.

1.Mikataba yote alioingia na waarabu ukichingulia kwa undani sio waarabu bali ni yeye mwenyewe hayo makampuni ana share zake na hela nyingi itakuwa inaenda Zanzibar

2. Kila mkataba alioingia na makampuni ya nje kuna asilimia ya malipo yatakuwa yanainufaisha Zanzibar .
3.Mojawapo ya kitegauchumi kikuu ni bandari ya Dar mapato mengi yataenda Zanzibar
4. Kama mnavyojua kwa sasa nafasi zote zile zinazohitaji maamzi zimeshikiliwa na wazenji ili iwe rahisi kufanikisha mikataba fake, mfano mnadhimu mkuu wa JWTZ, yule mama BOT , wizara ya mambo ya nje,Wizara ya fedha na sehemu zingine nyeti ambazo kwa sasa wacha tukae kimya.

Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimeamua kuiuza nchi yetu nzuri tuliobarikiwa na Mungu sijui kwa nini😢😢😢 ila wakati waja endelea na wewe mda mwingine kuwa mnafiki wa kuiua nchi yako

Maana siku zile 29 octoba uliongoza kwa maandiko ya kukashifu maandano naona umerudi tena kwa kasi endeleeni ila mda upo njiani tutawajibishana

Kwani tokea klini uvamizi ukawa ni muungano ??
 
Ni Sawa na Mke ambaye akiwa bado anakutegemea anakuheeshimu na anataka niendelee kuwa pamoja, baadae akipata fedha zake ambazo umemjenga anaanza kuona huna faida
Hata muungano ukivunjika Zenji itabaki kuwa Single Maza tu Imeshapigwa mimba ya mchanganyiko na watu wa Bara miaka 60.!

Kuwaza kujitenga ni ushujaa wa kisingo maza
 
Back
Top Bottom