Ngoja tuone ila hela inaenda nyingi sana kule kwa sasa
Msikilize Lissu anachoongea
View: https://www.youtube.com/watch?v=kvN0jG_1QJc
Ngoja tuone ila hela inaenda nyingi sana kule kwa sasa
Kwa hivyo usikasirike unapoona waafrika wanakula kwa urefu wa kamba zao waarabu mlishawaondosha au vipi ?? na pia mauwaji ya Oktober 29 , 25 yalikuwa haki yao kabisa waafrikaUvamizi wa waarabu zanzibar lazima ukomeshwe na mauaji ya 64 ilikuwa haki yao kabisa wajaa laana wale na bado zanzibar ni sehemu ya tanganyika lazima tuidai
Hivi ni kweli Mtanganyika akienda Zanzibar anakuwa na kibali? Wao wakija vipi! Wao wanaruhusiwa kushika ardhi Tanganyika, sisi vipi?Ndio maana ni vigumu kwangu kuelewa maana ya muungano.
Mtanganyika ni mtu gani , na Tanganyika aliiuwa Nyerere 1964 ??Mzanzibar ni Mtanzania. Ila mtanganyika sio Mzanzibar.
Nani yupo nyuma ya vuguvugu linaliendelea?
mafwele kawa Mzanzibari ??? 😛 😛 😛 yaani Muungano umekuwa leo hauna faida kwa watanganyika lakini miaka yote mlipokuwa mnauwa Wazanzibari ulikuwa una faida ??? 😛Kwa sasa hakuna Mtanganyika mwenye akili timamu anayeutaka huu muungano bandia.
Mtu mwenye akili timamu hupenda kuendelea na kitu chenye kumletea faida, siyo kinachomletea hasara.
Kwa sasa muungano umekuwa ni hasara kubwa kwa Watanganyika, kwa sababu unatumika kama mrija wa Wazanzibari kupora rasilimali za Tanganyika na kuzipeleka Zanzibar. Muungano unatumika kuwaua Watanganyika. Mauaji makubwa ya Watanganyika Oct 29 yalifanywa na Wazanzibari. Mpaka sasa kundi la watekaji na wauaji, sehemu inadaiwa kuundwa na Wazanzibari.
Kwa sasa hakuna Mtanganyika mwenye akili timamu anayeutaka huu muungano bandia.
Mtu mwenye akili timamu hupenda kuendelea na kitu chenye kumletea faida, siyo kinachomletea hasara.
Kwa sasa muungano umekuwa ni hasara kubwa kwa Watanganyika, kwa sababu unatumika kama mrija wa Wazanzibari kupora rasilimali za Tanganyika na kuzipeleka Zanzibar. Muungano unatumika kuwaua Watanganyika. Mauaji makubwa ya Watanganyika Oct 29 yalifanywa na Wazanzibari. Mpaka sasa kundi la watekaji na wauaji, sehemu inadaiwa kuundwa na Wazanzibari.
Mtanganyika ni mtu gani , na Tanganyika aliiuwa Nyerere 1964 ??
Mimi kama mwananchi wa kawaida sifaidiki na huu muungano hivyo basi, kama kuna uwezekano wa kuvunjika uvunjike tu
Chadema wako bungeni?Wanaharakati na chadema,umebahatika kuona video ikimuonesha rais wa TLS àkihubiri chuki za utanganyika na uzanzibar akimshutumu ssh kuchukua mali za 'watanganyika' kuipa Zanzibar?..ukristo na wakristo nchi hii ni janga,naqba,nakama,laana.. tangu Julius
Wazanzibar woote mnaoutaka nyinyi wabara,kama tatizo ni wanawake wa kiarabu Mafia si wapo lakini? Hakuna mbara serikani anaeweza kusema kama mzanziber alioserikalini? Mavazi ya kujistiri wanawake wa Zanziber yanawafanya kina Kabudi Mwigulu wasikubali kuuvunjaHamjambo!
Miezi ya hivi karibuni kumekuwa na kelele na kauli nyingi zenye mrengo wa kuuvunja muungano.
Nani yupo nyuma ya vuguvugu hilo?
Kina nani wanatarajiwa kuwa wanufaika baada ya muungano kuvunjika?
Nafahamu kuwa wahusika wakuu watakuwa miongoni mwa Wanasiasa hasa ambao majina yao hayapo na hayatajwi tajwi kwenye Media.
Na Wafanyabiashara. Wanaohitaji kuunda mfumo mwingine. Huku Muungano ukiwa kizuizi cha mfumo huo mpya.
Wananchi wao sio wanufaika wala sio wapata hasara. Muungano uwepo usiwepo kwao mambo ni yaleyale.
Swali linabaki ni kina nani?
Ijumaa Kareem
Tunao sana na ni mwingi JF sio mahala pake tunasubiri siku ili mje mjutieWeka ushahidi , please hatutaki povu la mitaani
Wanajua walichofanya October 29 kwa sasa wanapambana kuvunja muungano akitokea Rais mtanganyika hasije akamtupa mama lupango kwa hiyo muungano ukiwa umevunjika ndo itakua ponapona yake ni mawazo tu
Wazanzibar woote mnaoutaka nyinyi wabara,kama tatizo ni wanawake wa kiarabu Mafia si wapo lakini? Hakuna mbara serikani anaeweza kusema kama mzanziber alioserikalini? Mavazi ya kujistiri wanawake wa Zanziber yanawafanya kina Kabudi Mwigulu wasikubali kuuvunja
Waafrika wapi hao? Wazanzibar weupe waliwaua waafrika oct 29 ili kulipa kisasi ila kumbukeni zanzibar ni nchi ya watu weusi na tutaidai mpaka kesho na tutalipa tu kisasi cha oct 29 kwa namna yoyote subirini tu.Na hivi ndivyo mnavyopanga kuuwa wazanzibar weusi ambao ni waafrikaKwa hivyo usikasirike unapoona waafrika wanakula kwa urefu wa kamba zao waarabu mlishawaondosha au vipi ?? na pia mauwaji ya Oktober 29 , 25 yalikuwa haki yao kabisa waafrika
Hunao , tunao mwingi msi ushahidiTunao sana na ni mwingi JF sio mahala pake tunasubiri siku ili mje mjutie
Weupe wapi tena yaani Mafwele kawa mweupe ??, Waarabu si mlishawaondosha na kuwaweka waafrika ?? By the way huo uongozi wa nchi yenu mliwapa weupe baada kuwaondosha waarabu ??Waafrika wapi hao? Wazanzibar weupe waliwaua waafrika oct 29 ili kulipa kisasi ila kumbukeni zanzibar ni nchi ya watu weusi na tutaidai mpaka kesho na tutalipa tu kisasi cha oct 29 kwa namna yoyote subirini tu.Na hivi ndivyo mnavyopanga kuuwa wazanzibar weusi ambao ni waafrika
Hapo kwa Rais Samia akili ya kawaida haikubaliani.Wazanzibar wote hawautaki muungano Hadi Samia mwenyewe hautaki