Kuna ushahidi mwingi sana ambao tutauweka hapa ila sio kwa sasa na ushahidi huu unaonyesha asilimia 100 mwenye kutaka kuvunja Muungano ni Samia mwenyewe ndio kiongozi wa haya yote.
1.Mikataba yote alioingia na waarabu ukichingulia kwa undani sio waarabu bali ni yeye mwenyewe hayo makampuni ana share zake na hela nyingi itakuwa inaenda Zanzibar
2. Kila mkataba alioingia na makampuni ya nje kuna asilimia ya malipo yatakuwa yanainufaisha Zanzibar .
3.Mojawapo ya kitegauchumi kikuu ni bandari ya Dar mapato mengi yataenda Zanzibar
4. Kama mnavyojua kwa sasa nafasi zote zile zinazohitaji maamzi zimeshikiliwa na wazenji ili iwe rahisi kufanikisha mikataba fake, mfano mnadhimu mkuu wa JWTZ, yule mama BOT , wizara ya mambo ya nje,Wizara ya fedha na sehemu zingine nyeti ambazo kwa sasa wacha tukae kimya.
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimeamua kuiuza nchi yetu nzuri tuliobarikiwa na Mungu sijui kwa nini😢😢😢 ila wakati waja endelea na wewe mda mwingine kuwa mnafiki wa kuiua nchi yako
Maana siku zile 29 octoba uliongoza kwa maandiko ya kukashifu maandano naona umerudi tena kwa kasi endeleeni ila mda upo njiani tutawajibishana