Kwa hivyo baba yenu wa taifa aliwaingiza choo cha mashoga kwa kusema tanganyika ilikufa ??Tanganyika haikufa. Ipo mpaka kesho kama ilivyo Zanzibar.
Kama Tanganyika ingekufa, kusingukuwa na vuguvugu la kuvunja muungano

WaarabuHamjambo!
Miezi ya hivi karibuni kumekuwa na kelele na kauli nyingi zenye mrengo wa kuuvunja muungano.
Nani yupo nyuma ya vuguvugu hilo?
Kina nani wanatarajiwa kuwa wanufaika baada ya muungano kuvunjika?
Nafahamu kuwa wahusika wakuu watakuwa miongoni mwa Wanasiasa hasa ambao majina yao hayapo na hayatajwi tajwi kwenye Media.
Na Wafanyabiashara. Wanaohitaji kuunda mfumo mwingine. Huku Muungano ukiwa kizuizi cha mfumo huo mpya.
Wananchi wao sio wanufaika wala sio wapata hasara. Muungano uwepo usiwepo kwao mambo ni yaleyale.
Swali linabaki ni kina nani?
Ijumaa Kareem
Hapo kwa Rais Samia akili ya kawaida haikubaliani.
Muungano ndiyo umempa Urais na nguvu yake yote ipo hapo.
Haiwezekani pia wazanzibari wote wasiutake.
Waarabu +mazalia hawakufuzwa ila waliuliwa tu ila bado wapo na mbaya zaidi ni watawala sasa hivi ndio walioengineer oct 29 massacre.Mafwele ni mbwa tu ila mazalia ndio wenye mbwa ,sasa basi subirini kisasi chetu sisi waafrika.Na mna hila sana mnataka kuwaua wazanzibar weusi(waafrika) kimya kimyaWeupe wapi tena yaani Mafwele kawa mweupe ??, Waarabu si mlishawaondosha na kuwaweka waafrika ?? By the way huo uongozi wa nchi yenu mliwapa weupe baada kuwaondosha waarabu ??
Waarabu
Msitafute mchawi, watu hawataki wenyeweH
Lakin hawana power kama walivo zenjiUnajua waarabu wamejaa bara kuliko zenj?
Lakin hawana power kama walivo zenji
Wananchi wa pande zote hasa wa Zanzibar watanufaika pakubwa sana muungano ukivunjika
Zanzibar itanufaika zaidi muungano ukivunjika.Hakuna Cha aliyeko nyuma Wala mbele. Zanzibar wanajua athari zaoja kwa moja watakazozipata baada ya kuvunja muungano.
Nb:Wale mawaziri wao walipitiwa tu wasameheni
hakuna kitu kama hicho mie mbona sijaambiwa na mtu ila sielewi elewiHao watu ni mpaka waambiwe na wanasiasa.
hakuna kitu kama hicho mie mbona sijaambiwa na mtu ila sielewi elewi
Umeandika lugha gani yaani waarabu mlishawauwa Sasa Hao waafrika si ndio wanaowatawala? Wewe huna lolote unatoka povu hapa mtandaoni , ukisikia Mafwele kajamba tu mtaani penu unajificha kabatini au chini ya mvungu wa kitanda huku suruali ikiwa imejaa maviWaarabu +mazalia hawakufuzwa ila waliuliwa tu ila bado wapo na mbaya zaidi ni watawala sasa hivi ndio walioengineer oct 29 massacre.Mafwele ni mbwa tu ila mazalia ndio wenye mbwa ,sasa basi subirini kisasi chetu sisi waafrika.Na mna hila sana mnataka kuwaua wazanzibar weusi(waafrika) kimya kimya
Nyie mnaishi Tanzania ya wapi? Kumbe mambo mengi huyajuiBila muungano Samia asingekuwa Makamu wa Rais wala Rais.
Huu muungano kwake pekee umemnufaisha na kumuwekea historia ambayo ni heshima kwake
Personally Muungano uvunjike, lakini ni Nani yupo nyuma ya hili vuguvugu!? Simple SAMIA NA GENGE LAKE.Hamjambo!
Miezi ya hivi karibuni kumekuwa na kelele na kauli nyingi zenye mrengo wa kuuvunja muungano.
Nani yupo nyuma ya vuguvugu hilo?
Kina nani wanatarajiwa kuwa wanufaika baada ya muungano kuvunjika?
Nafahamu kuwa wahusika wakuu watakuwa miongoni mwa Wanasiasa hasa ambao majina yao hayapo na hayatajwi tajwi kwenye Media.
Na Wafanyabiashara. Wanaohitaji kuunda mfumo mwingine. Huku Muungano ukiwa kizuizi cha mfumo huo mpya.
Wananchi wao sio wanufaika wala sio wapata hasara. Muungano uwepo usiwepo kwao mambo ni yaleyale.
Swali linabaki ni kina nani?
Ijumaa Kareem
Yaani Kama vile nchi ni mali yake au amerithi kwa babu yake?CCM haiwezi kukubali muungano uvunjwe.
Kwa sababu CCM ni moja ya matunda ya Muungano.
Kwamba Muungani ukivunjika automatically CCM imekufa inarudi TANU.
Na nikuambie tuu TANU imetupa Rais mmoja tuu ambaye ni Jk Nyerere. Hna Tanganyika mpaka sasa Ina Rais mmoja ambaye ni Nyerere.
Ikitokea Muungano umevunjika.
Rais atakayeingia madarakani kuiongoza Tanganyika atakuwa Wapili.
Huku wale wengine kina Mwinyi, Mkapa, Kikwete, magufuli na Samia wakiondoka kwenye rekodi.
Historia ya Tanganyika itasomwa kivingine kabisa.
Sidhani kama Rais aliyepo atakubali atolewe kwenye Ramani ya historia
Yaani Kama vile nchi ni mali yake au amerithi kwa babu yake?
Mie hata sielewi, nafata tu mkumbo hata muungano sijui kama upo sasaWewe sio Mwanasiasa.
Embu toa maoni yako kama Mwananchi. Ni jambo gani kama mwananchi haliendi kutokana na uwepo wa muungano?