tunduma001
JF-Expert Member
- Jun 7, 2021
- 795
- 1,267
Sawa muarabu mazaliaUmechomoka na kuandika haraka halafu umerudi mafichoni , joga wahed
Sawa muarabu mazaliaUmechomoka na kuandika haraka halafu umerudi mafichoni , joga wahed
Hii kete inasukumwa kutoka mahali pa juu kabisa katika hirach za uongoziHamjambo!
Miezi ya hivi karibuni kumekuwa na kelele na kauli nyingi zenye mrengo wa kuuvunja muungano.
Nani yupo nyuma ya vuguvugu hilo?
Kina nani wanatarajiwa kuwa wanufaika baada ya muungano kuvunjika?
Nafahamu kuwa wahusika wakuu watakuwa miongoni mwa Wanasiasa hasa ambao majina yao hayapo na hayatajwi tajwi kwenye Media.
Na Wafanyabiashara. Wanaohitaji kuunda mfumo mwingine. Huku Muungano ukiwa kizuizi cha mfumo huo mpya.
Wananchi wao sio wanufaika wala sio wapata hasara. Muungano uwepo usiwepo kwao mambo ni yaleyale.
Swali linabaki ni kina nani?
Ijumaa Kareem
Sawa muafrika jogaSawa muarabu mazalia
Samia anayechukuliwa kuwa mwenyeji wa Omani upande wa Mama ni mwenyeji wa mikoa ya huku Pwani kwa upande wa Baba yake.
Asilimia 90 ya wazenji asili yao ni mikoa ya Pwani, Lindi, Tanga, Morogoro na Mtwara, vigumu sana kuwatenga na mababu zao waliopo huku.
Tunaishia kutukanana na kukejeliana lakini mwisho wa siku wote tunarudi kukaa kwenye viti kwani damu ni nzito kuliko maji.
Dah nimesikiliza HIi kitu Inanguvu saaana Iko very Powefull hngera sana Mkuu uliyetengeneza hiiTuishi humu Tutapata summary ya discussion nzima
Tuishi humu Tutapata summary ya discussion nzima
Tuishi humu Tutapata summary ya discussion nzima
Afunguliwe mashtaka kama uongo .Wanaharakati na chadema,umebahatika kuona video ikimuonesha rais wa TLS àkihubiri chuki za utanganyika na uzanzibar akimshutumu ssh kuchukua mali za 'watanganyika' kuipa Zanzibar?..ukristo na wakristo nchi hii ni janga,naqba,nakama,laana.. tangu Julius
Hawezi kufunguliwa kwani na yeye ni mmoja wao hizo ni tamthilia tuAfunguliwe mashtaka kama uongo .
Mnasubiri nini ?
Kwamba kutojadili kutashusha bei ya unga au wamemaanisha nini hebu nielewesheniTuishi humu Tutapata summary ya discussion nzima
Tuishi humu Tutapata summary ya discussion nzima
Huu ni uongo na uzushi wa Wabara walioko Zanzibar. Tukio hili lilikuja baada ya kuiba kwenye kampuni ya ujenzi na katika kuchukua tahadhari wenye kampuni wakawataka kuwa na kitambulisho - iwe NIDA, ZanID, paspoti, kadi ya mpiga kura au kitambulisho rasmi chochote ili waingie kazini. Huyo anayesema hayo anatia fitina. Vizuri hilo limetolewa ufafanuzi na maelezo. Hata wewe haitokusaidia kuiweka hapo. Wanaotoka kuelewa wameelewa. Kwenye muungano, pamoja kwamba siupendi, hakuna tatizo. Tulia mkuu.
Sawa mwarabu kokoSawa muafrika joga
Sawa chotara kokoSawa mwarabu koko
Proud to be blackSawa chotara koko
Hakuna anayetaka kuvunja muunganoHakuna Cha aliyeko nyuma Wala mbele. Zanzibar wanajua athari zaoja kwa moja watakazozipata baada ya kuvunja muungano.
Nb:Wale mawaziri wao walipitiwa tu wasameheni