Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Samia anayechukuliwa kuwa mwenyeji wa Omani upande wa Mama ni mwenyeji wa mikoa ya huku Pwani kwa upande wa Baba yake.Muhimu tu waislamu wa Zanzibar na Waislam wa Tanzania Bara huwezi kuwatenganisha kwasababu zozote zile
Mwalimu Nyerere alijua uko mbele kutatokea ayo mambo. Ikabidi akatoa mwongozo wake!!
Sasa wale watampuuza Mwalimu Nyerere
Watakuja kukumbuka shuka asubuhi kumekucha👈
Waislam wanajua tatizo kuu ni Dini yao sio Uzanzibar wake.
Wenye malengo ya kuwafukuza Wazanzibar wajue wataondoka wao kwenye pwani zote za
Miji ya Waislamu ✍️
chuki zenu Ukristo wenu bakini nao uko uko kwenu Bara sio Pwani yetu.
Kwenye pwani zetu nyinyi hamuwezi kumfukuza yoyote ✍️
mtaaondoka kwa heshima tu hatuna jinsi.
lkn mikononi mifuko ya RAMBO kama mlivokuja👈
Si mlichagua wenyewe kufukuza wenyeji wa pwani!
ETI mnadanganyana na mnategemea waislamu wapwani watasimama na Wakristo wa bara💩
Sisi tumewaoa wazanzibar nawao wameoa uku kwetu !!
unategemea nini apo!!
Tunzeni muungano wetu kwa heshima kama umeenda ukweni
Mwalimu Nyerere alikuwa mbele ya Muda👈
Lkn pia nitoe mwito kwa Wanasiasa wa Zanzibar👈
kupunguza migogoro watakaopata matatizo ni Wananchi 👈
Tanzania ni moja
tupunguze shobo ✍️
Asilimia 90 ya wazenji asili yao ni mikoa ya Pwani, Lindi, Tanga, Morogoro na Mtwara, vigumu sana kuwatenga na mababu zao waliopo huku.
Tunaishia kutukanana na kukejeliana lakini mwisho wa siku wote tunarudi kukaa kwenye viti kwani damu ni nzito kuliko maji.