Nani zaidi kati ya Aziz Ki na Chama?

huu mjadala uishe
kuna mtu anaonewa bila sababu
 
Mkuu huwa nakuheshimu sana
Wewe ni mmoja wa member nimefuatilia threads zako nyingi nikatambua upo smart kichwani

Sasa mbona maneno ya vijiweni yanakuharibu
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…