Nani zaidi kati ya Aziz Ki na Chama?

Nani zaidi kati ya Aziz Ki na Chama?

sakho alikuja bongo akiwa amekuwa MVP wa ligiya senegal, kwa taarifa yako ivory coast siyo ligik ubwa afrika,usichanganye ma fail ya mafanikio ya teams za taifa na ligi ya ndani, senegal, ghana, ivory coast, mali ,burkina faso ligi zao za kawaida sana...ndiyo maana simba kaibeba ligi ya bongo ina teams 4 afrika wao hawana
Sisi na ivory coast tumefuatana

icho sio kigezo ww KOLO
 
Ila kocha Luc hakukosea huko ivory coast wanamjua chama!
kwann uwashindanishe sasa ukijua ,mmoja ni mzoefu wa ligi mwingine ndio anaanza ligi hii, na halikotoka alifanya vizuri zaidi ya uyu wa hapa kwenu,
 
CHAMA ni overrated player, sioni cha ajabu kwake, Binafsi bila upendeleo kama mimi ni kocha na nina namba 10 hao wawili, basi nitampanga AZIZ KI afu bench CHAMA.

AZIZ KI anakuoffer vitu vingi kuliko CHAMA, timu ikizidiwa kidogo hata kukaba ni ngumu kwake.

Ujinga mkubwa sana kulinganisha kipaji cha Mpira kama Aziz Ki na yule Chama.
Chama ameprove kufeli kwenye mifumo ya kiuchezaji alipokwenda Berkane na hakupata namba.
 
Aziz Ki ni machachari na ana kasi ya mpira Chama yupo taratibu na ana akili ya mpira sasa wewe hapo utachagua yupo?
 
Mashabiki ya makolokolo yalishakabidhi akili kwa Mwamedi yakabaki na makopo tu ambayo yanafikri yana ubongo kumbe hamna kitu!
 
kwani Nani asiyejua kuwa Aziz alipotoka alikuwa mchezaji Bora,ukiniuliza nitakupa jibu tripple C kwa sababu nimemuona kwa misimu mingi hapa KWETU hivyo najua ubora wake na uwezo wake ILA,ILA huyu Aziz ki Ana vitu vingi uwanjani kwa kuongea ushuhuda wa match ya derby iliyopita ambayo iliwakutanisha Hawa jamaa nadhani tunajua Nani aliisaidia timu yake kuibuka na ushindi...Acha tuone league iishe halfu tuje hapa Tena ikiwa wote wamo ndani ya league moja..
 
CHAMA ni overrated player, sioni cha ajabu kwake, Binafsi bila upendeleo kama mimi ni kocha na nina namba 10 hao wawili, basi nitampanga AZIZ KI afu bench CHAMA.

AZIZ KI anakuoffer vitu vingi kuliko CHAMA, timu ikizidiwa kidogo hata kukaba ni ngumu kwake.

Ujinga mkubwa sana kulinganisha kipaji cha Mpira kama Aziz Ki na yule Chama.
Chama ameprove kufeli kwenye mifumo ya kiuchezaji alipokwenda Berkane na hakupata namba.
Kwan Aziz Ki angekua mchezaji mzuri, mbna huki berkane hakutakiwa? Yaan hataa kuuliziwa nehiiiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
chama mchezaji wa mechi za ndondo ukimpa mechi kubwa anageuza kibwengo

azizi ki hafai kufananishwa na chama mchazaji wa mechi za geita,ndanda
Mechi na nkana na mechi na as vita alizoamua matokeo ni ndogo au kuishia kwenu raundi ya awali kwenye michuano ya caf kunawatoa ufahamu
 
Mechi na nkana na mechi na as vita alizoamua matokeo ni ndogo au kuishia kwenu raundi ya awali kwenye michuano ya caf kunawatoa ufahamu
nacho shukuru mechi zake alizo fanya vzr ni za kuhesabu na wewe una kili hilo pale hakuna mchezaji
 
nacho shukuru mechi zake alizo fanya vzr ni za kuhesabu na wewe una kili hilo pale hakuna mchezaji
Umezungumzia mechi ndogo nimekutajia chache za kimataifa hapo nimeacha za kaizer Chief labda unitajie mechi kubwa za Aziz ki
 
Back
Top Bottom