Yaani Azizi Kii mwenye uwezo wa kucheza mpira hata kwa dakika 200, analinganishwa na mchezaji anayecheza kwa wastani wa dakika 50-60 hivi, halafu anatolewa nje!
Azizi Kii anakinukisha kwenye mechi zote! Ziwe za derby, ziwe za Kimataifa, ziwe za timu ndogo, nk. Yule mwingine kwenye mechi ya derby utamuonea huruma kwa namna anavyowekwa kifuani na dogo Fei Toto!
Aziz Kii ana uwezo wa kukinukisha viwanja vyote! Viwe vya nyasi bandia, vya Mikoani, Benjamin Mkapa, nk! Yule mwingine ukimtoa nje ya dimba la Mkapa, hakika utamuonea huruma.
All in in all, Aziz Kii ni mutu ya kazi! Kuanzia physic, pace, nk. Imagine ana miezi miwili tu kwenye ligi, lakini analinganishwa na mtu mwenye miaka kibao!