Nani zaidi kati ya Aziz Ki na Chama?

Nani zaidi kati ya Aziz Ki na Chama?

Kwani mpaka Sasa namba zinasemaje, kuanzia ngao ya jamii.
 
Mnashindanisha mvp wa ligi ya ivory coast na mvp wa makolo!kitu kinawafanya mumlinganishe azizi ki mwenye match 3 tu za kimashindano hapa Tanzania na chama mwenye miaka zaidi ya 3!kama si ubora aliouonyesha kwa match hizi 3
Wewe ni Miongoni mwa wasio na akili

Sasa Ligi ya Ivory Coast nayo Ligi? Si sawa na Zanzibar au Burundi tuu? Hivi wajua hadhi ya NBC PL? Utopolo mkubwa wewe
 
Yaani Chama anayecheza taratibu kama konokono ukamfananishe na mchezaji aliye twaa tuzo ya mchezaji Bora kwenye ligi ya Ivory coast!! Kwa hakika Tanzania Kuna vituko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ona huyu Utopolo asiye na akili

Ligi ya Ivory Coast nayo ni Ligi? Ukitaja Ligi 10 bora Afrika Ligi ya Tanzania ipo, Ligi ya Ivory Coast haipo.

Kwako wewe Mchezaji Bora wa Djibout au Commoros unaona naye Mchezaji kuliko aliyepo NBC PL? Ligi ya Ivory Coast ni takataka mbele ya NBCPL
 
Yaani Azizi Kii mwenye uwezo wa kucheza mpira hata kwa dakika 200, analinganishwa na mchezaji anayecheza kwa wastani wa dakika 50-60 hivi, halafu anatolewa nje!

Azizi Kii anakinukisha kwenye mechi zote! Ziwe za derby, ziwe za Kimataifa, ziwe za timu ndogo, nk. Yule mwingine kwenye mechi ya derby utamuonea huruma kwa namna anavyowekwa kifuani na dogo Fei Toto!

Aziz Kii ana uwezo wa kukinukisha viwanja vyote! Viwe vya nyasi bandia, vya Mikoani, Benjamin Mkapa, nk! Yule mwingine ukimtoa nje ya dimba la Mkapa, hakika utamuonea huruma.

All in in all, Aziz Kii ni mutu ya kazi! Kuanzia physic, pace, nk. Imagine ana miezi miwili tu kwenye ligi, lakini analinganishwa na mtu mwenye miaka kibao!
Huyo mwenye dk 20 ana goal moja na asist mbili kweny ligue..haya tulete takwimu za huyo mweny dk 200
 
Yaani Azizi Kii mwenye uwezo wa kucheza mpira hata kwa dakika 200, analinganishwa na mchezaji anayecheza kwa wastani wa dakika 50-60 hivi, halafu anatolewa nje!

Azizi Kii anakinukisha kwenye mechi zote! Ziwe za derby, ziwe za Kimataifa, ziwe za timu ndogo, nk. Yule mwingine kwenye mechi ya derby utamuonea huruma kwa namna anavyowekwa kifuani na dogo Fei Toto!

Aziz Kii ana uwezo wa kukinukisha viwanja vyote! Viwe vya nyasi bandia, vya Mikoani, Benjamin Mkapa, nk! Yule mwingine ukimtoa nje ya dimba la Mkapa, hakika utamuonea huruma.

All in in all, Aziz Kii ni mutu ya kazi! Kuanzia physic, pace, nk. Imagine ana miezi miwili tu kwenye ligi, lakini analinganishwa na mtu mwenye miaka kibao!
Hizo mechi zote ana assist ngapi na magoli mangapi?

Vv
 
Wewe ni Miongoni mwa wasio na akili

Sasa Ligi ya Ivory Coast nayo Ligi? Si sawa na Zanzibar au Burundi tuu? Hivi wajua hadhi ya NBC PL? Utopolo mkubwa wewe
Wewe punguani,ligi ya ivory coast unaifananisha na hii yetu,utakua mshamba wewe sio bure,ile ligi watu wanasajiliwa ulaya moja kwa moja,hivi unajua pacha wa aziz ki pale asec amesajiliwa wapi?
 
Aziz ki huyu anaechezea timu underdog ambayo huishia hatua ya awali CAF CL kila mwaka na timu ya 140 kwa ubora wa vilabu Afrika ? Au kuna azizi ki mwingine?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Aziz ki mchezaji bora ligi kubwa ya ivory coast msimu ulioisha.

Hapa tunazungumzia ubora wa aziz ki na chama wala sio vilabu

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Tuwe na heshima japo kidogo. Mimi ni mwananchi lakini siwezi kumfananisha Chama na vitu vya kijinga.

Aziz Ki acheze angalau misimu mitatu akiwa katika kiwango Cha juu ndo tuibue huu mjadala tena.

Kwa hapa kwetu Chama ni class nyingineee kabisa.
chama mchezaji wa mechi za ndondo ukimpa mechi kubwa anageuza kibwengo

azizi ki hafai kufananishwa na chama mchazaji wa mechi za geita,ndanda
 
chama ana assist mbili na goli moja..... vip azizi ana nin had sasa.....
unanikumbusha wakat ligi ina anza mayele alikuwa anafananishwa na rasta kibu d kisa vigoli viwili kilicho mkuta sasa hadi leo hamu amini
 
Aziz ki mchezaji bora ligi kubwa ya ivory coast msimu ulioisha.

Hapa tunazungumzia ubora wa aziz ki na chama wala sio vilabu

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
sakho alikuja bongo akiwa amekuwa MVP wa ligiya senegal, kwa taarifa yako ivory coast siyo ligik ubwa afrika,usichanganye ma fail ya mafanikio ya teams za taifa na ligi ya ndani, senegal, ghana, ivory coast, mali ,burkina faso ligi zao za kawaida sana...ndiyo maana simba kaibeba ligi ya bongo ina teams 4 afrika wao hawana
 
Back
Top Bottom