Nani zaidi kati ya Bendi 'Nitakopa sana' tu na Bendi 'Madeni yatauza nchi' yetu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Ukiona tu walioko Juu Wanapishana ( hasa kwa Kauli zao ) jua Kwanza Dhambi Kuu ya Unafiki dhidi ya aliyelala 'mazima' Ziwani inaanza Kuwatesa lakini pia ni dalili tosha kuwa sasa 'Wanawindana' na huenda ama Wakasalitiana au hata tu Kuumizana kwa Kumalizana.

Natabiri tu Msiba nchini 2022 au 2024.
 
Ukiona tu walioko Juu Wanapishana ( hasa kwa Kauli zao ) jua Kwanza Dhambi Kuu ya Unafiki dhidi ya aliyelala 'mazima' Ziwani inaanza Kuwatesa lakini pia ni dalili tosha kuwa sasa 'Wanawindana' na huenda ama Wakasalitiana au hata tu Kuumizana kwa Kumalizana.

Natabiri Msiba nchini 2022 au 2024.
Hebu nifafanulie, hii bendi "madeni yatauza nchi" ndo wakati mwingine hujiita "Tozo Jazz Band"?
 
Tutakopa sana + Tozo vs Tozo Jazz Band…. Ama hakika mpka sasa ngoma ni bila bila.
 
Back
Top Bottom