Ukiona tu walioko Juu Wanapishana ( hasa kwa Kauli zao ) jua Kwanza Dhambi Kuu ya Unafiki dhidi ya aliyelala 'mazima' Ziwani inaanza Kuwatesa lakini pia ni dalili tosha kuwa sasa 'Wanawindana' na huenda ama Wakasalitiana au hata tu Kuumizana kwa Kumalizana.
Natabiri Msiba nchini 2022 au 2024.