Duh nilikuwa namuona wema ni ----- lakini huyu zari anaonekana headmistress wake. lol diamond anakazi
Shoga mbona nashindwa kuingia kwa sintah!!??
Zari ana watoto,wema hana,wote wanategemea ma Bwana,Zari anasubiri apewe child support na Ivan,Wema nae anasubiri pesa kutoka kwa mapedeshee,wote wale wale,Ila Diamond asubiri kufilisika maana Zari ni hatariii

nimeiskia hii bingwa wa kufilisi yule
mdada
Dimondo naona kakimbilia kwa Zari kwa frustrations tu ili kumkomoa Wema. Huko Insta jamaa bado analilia papuchi ya Wema, ni vema watu wa karibu na Chibu wamshauri atulie kwanza apunguze stress za kuachwa then baadae sana ndo aingie kwenye relationship kwa sasa kukimbilia kwa warembo ataishia pabaya
Siku hizi ukitaka kuijuia product wakati hujawahi kuitumia, soma customer reviews. Nimesoma comments za waganda kwenye hizo links, naona kama wanaingia kwenye mahusiano diamond atafilisika kabisa. He has to play his cards very well!
Mkuu umejionea eeh! She is an expensive G.digger!Hahahaa haaaa
Nimekusoma
I quote;Kwani kasemaje huko insta mamii...
Mi pia toka jana kila nikijaribu wananiambia nibofye hapa nikbofya wanasema tena bofya hapa nabofya nimeshindwa
sintah we kidomo acha hashuo za mbuzi kuota ndevu kabla ya balehe
Dimondo naona kakimbilia kwa Zari kwa frustrations tu ili kumkomoa Wema. Huko Insta jamaa bado analilia papuchi ya Wema, ni vema watu wa karibu na Chibu wamshauri atulie kwanza apunguze stress za kuachwa then baadae sana ndo aingie kwenye relationship kwa sasa kukimbilia kwa warembo ataishia pabaya
jaman hat mm tang jana nashndwa kuingia huko yan nilikuwa na hamu na maubuyu ya huko..ila maybe ms manongi yuko busy na shost ake zari plus kunyonyesha mtoto

I quote;
1."They say it's real if it come back. ... I say it's real if it never left"
2. "You 'll neva understand until it happens to you"