Nani zaidi kati ya Wema au Zari?

Nani zaidi kati ya Wema au Zari?

Diamond kwa Zari kapotea,kumbe ana watoto 4 na sio 3 na miaka inawezekana sio 34 ni 40 hahaaaa!!!!! ila wema mzuri yeye kapenda pesa sio huyo mwanamke,halafu nyie mnao muita Zari dada mna maana gani? msichana ukisha zaa ni mwanamke sio dada tena au hizo pesa
 
Zari ana watoto,wema hana,wote wanategemea ma Bwana,Zari anasubiri apewe child support na Ivan,Wema nae anasubiri pesa kutoka kwa mapedeshee,wote wale wale,Ila Diamond asubiri kufilisika maana Zari ni hatariii

Hapo ndo atachoka Daimond hua hahongiii,ye amhonge tu Domo wetu
 
Zari ana watoto,wema hana,wote wanategemea ma Bwana,Zari anasubiri apewe child support na Ivan,Wema nae anasubiri pesa kutoka kwa mapedeshee,wote wale wale,Ila Diamond asubiri kufilisika maana Zari ni hatariii

nimeiskia hii bingwa wa kufilisi yule
mdada
 
Dimondo naona kakimbilia kwa Zari kwa frustrations tu ili kumkomoa Wema. Huko Insta jamaa bado analilia papuchi ya Wema, ni vema watu wa karibu na Chibu wamshauri atulie kwanza apunguze stress za kuachwa then baadae sana ndo aingie kwenye relationship kwa sasa kukimbilia kwa warembo ataishia pabaya

Kwani kasemaje huko insta mamii...
 
Zari kasema ana uwezo wa kutoka na mwanaume amtakaeeeee heloo
 
Siku hizi ukitaka kuijuia product wakati hujawahi kuitumia, soma customer reviews. Nimesoma comments za waganda kwenye hizo links, naona kama wanaingia kwenye mahusiano diamond atafilisika kabisa. He has to play his cards very well!

Hahahaa haaaa
Nimekusoma
 
Mi pia toka jana kila nikijaribu wananiambia nibofye hapa nikbofya wanasema tena bofya hapa nabofya nimeshindwa
sintah we kidomo acha hashuo za mbuzi kuota ndevu kabla ya balehe

jaman hat mm tang jana nashndwa kuingia huko yan nilikuwa na hamu na maubuyu ya huko..ila maybe ms manongi yuko busy na shost ake zari plus kunyonyesha mtoto
 
Dimondo naona kakimbilia kwa Zari kwa frustrations tu ili kumkomoa Wema. Huko Insta jamaa bado analilia papuchi ya Wema, ni vema watu wa karibu na Chibu wamshauri atulie kwanza apunguze stress za kuachwa then baadae sana ndo aingie kwenye relationship kwa sasa kukimbilia kwa warembo ataishia pabaya

Kumbe
Aiseeeee
 
jaman hat mm tang jana nashndwa kuingia huko yan nilikuwa na hamu na maubuyu ya huko..ila maybe ms manongi yuko busy na shost ake zari plus kunyonyesha mtoto

Hakuna kuna kitu naona hatakiii tuu
 
jaman hat mm tang jana nashndwa kuingia huko yan nilikuwa na hamu na maubuyu ya huko..ila maybe ms manongi yuko busy na shost ake zari plus kunyonyesha mtoto

Mbona jana asubuhi aliweka picha zake na Zari?au team wema walimvamia nini?yaani katuwezaje jamani
 
I quote;
1."They say it's real if it come back. ... I say it's real if it never left"
2. "You 'll neva understand until it happens to you"

Hahahaaaa kwa hiyo sasa kaelewa baada ya kumtokea eeh....safi sana alimuumizaga dada wa watu kama nini...naye kalizwa safari hii
 
Back
Top Bottom