Diamond kwa Zari kapotea,kumbe ana watoto 4 na sio 3 na miaka inawezekana sio 34 ni 40 hahaaaa!!!!! ila wema mzuri yeye kapenda pesa sio huyo mwanamke,halafu nyie mnao muita Zari dada mna maana gani? msichana ukisha zaa ni mwanamke sio dada tena au hizo pesa