NANI ZAIDI: Nilikuwa na Mashaka na Simba kumbe ni kweli wanatumia fumbate

Kuna mtu anaitwa demigod, Mtoa mada, inafaa alione hii picha ambayo Yanga ndio walikuwa wenyeji.
Na aseme pesa ya kiingilio nani alitoa nyingi kwenye hiyo mechi yao.
Washabiki wa Yanga wengi ni akina mama na Wazee kama Mzee Mpili.

Simba ndio haoo hapo kweny mechi ya Yanga.
Nao watuoneshe kwenye Mechi ya Simba wanajitokeza namna gani.

Hizo pesa za Get collection nyingi zimechangiwa na mashabiki wa Simba.
Ila tunawajua hawanaga shukrani hawa watu.
Wakiambiwa Simba anaongoza vilabu vingi Afrika kwa Attendance ya mashabiki ni kama wameziba maskio yao.
Na kwenye mchango Simba wanaongoza zaidi ya maradufu kama hapo uwanjani kwenye mechi yao.
 
Yaah ni kwa vile wanakuja kuingalia burudani ya mpira kutoka kwa Yanga baada ya kukosa burudani toka kwa timu yao ambayo inabutua butua na timu imejaa wavunja kuni watupu

Rudini sokoni mkasajili quality players watakao leta burudani kwenye timu ili msiende kutafuta burudani halisi ya mpira kutoka kwa jirani

Ngenga zikiendelea timu yenu mtaikimbia kwa pira gimbi linalopigwa
 
Kushiriki group stages ndio umeona ni mafanikio?

Yaani kuwa msimdikizaji nayo ni sifa?
Ww mbona tokea Yanga utopolo ianzishwe hujawahi shiriki zaidi ya 2 kama unaona rahisi kwanini hatukuoni caf champs league
 
Una uhakika gani Mashabiki wote walioingia kwenye mechi za Yanga, ni Mashabiki wa Yanga?

Unaweza kufunga safari kuhudhuria msiba USIO KUHUSU..?

Anayefanya hivyo ni yule mwenye nia ya kula wali wa msibani tu..

Na hua hawazidi asilimia 10.
 
Japokuwa Simba Kwa miaka kadhaa hapati matokeo mazuri kwenye game za derby ila mashabiki wa Simba huiamini team Yao na kwenda kujaza uwanja kwenye derby zote haijarishi Simba ndio mwenyeji au Yanga

Mbona mnachagua baadhi ya mechi ili kupima nani mwenye kufuatiliwa zaidi?

Kwanini utumie kipimo cha mechi za Derby pekee?

Msimu uliopita YANGA SC iliongoza kwa gate collection, je unafahamu maana yake?

Au unadhani msimu huo waliamua tu kwamba wahudhurie na kutazama zaidi mechi za Watani zao na Waachane na kujaza Mechi za Timu yao?

Fikiria.
 
Hilo gape unaloongelea wewe kwenye gate collection ni Simba ndio waliinufaisha Yanga, rejea msimu huu derby ya mwisho

Kwa hiyo unamaanisha kuwa msimu uliopita mashabiki wote wa simba sc tanzania nzima walikaa chini wakaamu sasa wawe wanaenda kutazama mechi za YANGA SC na pia wapumzike kutazama mechi za SIMBA SC...?

[emoji23][emoji23]
 
Si mlisema mo hana hela kumbe sasa hivi aliweka fumbate?kama hizo ni figa halisi basi simba imebahatika kuwa na tajiri anaejitoa kama mo,anatoa hela muda ambao hata transformation haijakamilika
 
Bumbuli akaanza kulalamika kuwa Simba haifanyi promotion Kwa sababu wanahofia Yanga ataingiza hela nyingi, ila mwisho wa siku wewe mwenyewe shahidi kuwa Simba walikuwa robo Tatu ya uwanja wa mkapa pamoja na kutokupigwa promotion ya derby

Bado narudia tena.

Mechi moja sio kipimo cha nani anafiatiliwa na mashabiki wengi uwanjani.




[emoji23]
 
 

Mechi ambazo tuna uhakika wa Ushindi huwa atuendi kutazama.

Moja ya hizo mechi ni pale tunapocjeza na Simba SC.

Unaendaje kutazama game ikiwa matokeo unayatambua mapema..

Ni rahisi zaidi kutabiri matokeo dhidi ya SIMBA SC kuliko dhidi ya Coast Union.
 
Ww mbona tokea Yanga utopolo ianzishwe hujawahi shiriki zaidi ya 2 kama unaona rahisi kwanini hatukuoni caf champs league

Inaonekana wewe bado ni mchanga sana kwenye soka.

Yanga SC ndio klabu iliyoshiriki mara nyingi zaidi kwenye continental tournaments kuliko timu yeyote hapa Tanzania.

Najua ubongo wako umejaa maji ya Madafu nenda Google ikakusaidie.
 
Una uhakika gani Mashabiki wote walioingia kwenye mechi za Yanga, ni Mashabiki wa Yanga?

Rangi za jezi uwanjani ni kiashiria tosha kuwa wakina nani wanashangilia nani.

Hakuna shabiki wa SIMBA SC anaweza tinga uzi wa NJANO na kuenda kutazama mechi ya YANGA SC.

[emoji23][emoji23]
 
Ukitumia akili utagundua kuwa hakuna ALGORITHM inayoshindwa ku-generate 1,000/= at a particular interval.

Ukizingatia hakuna ukomo wa kuchangia buku buku.
Kwanin Yanga nao wasifanye ivo! Unafanya maisha kuwa magumu, kwa vitu ambavyo vikowazi kabisa.!
 
Acha kushangaa na kushutumu tuma pesa, Hamasisha shabiki mwenzako nae atume pesa na ahamasishe wengine!
Sote tunajua kwasasa Simba ina mashabiki hadi nje ya Tanzania, sasa wewe baki kushutumu Simba tunaenda next level! Ni Simba haohao mwaka juzi waliwabamiza Yanga 4 - 1, Ni Simba haohao waliwahik kuwafunga Yanga 5 - 0, 6 -0, Huku Abdalah king Kibaden akipiga hatitrick, Hivyo hakuna cha kushangaza wamestahili! Kama bado hujaamini kawaulize wafanyabiashara wa vibanda umiza watakwambia ukweli kuhusu tofauti ya mapato wanayopata siku Simba ikicheza huwezilinganisha na hao wanaochezea mpira mdomoni1
 
Tuseme OM aondoke wanachama mnaweza kuendesha hii clab? si mnaona Yanga walivyozorota baada ya Manji kusepa hadi GSM alipoingia kuokoa jahazi, acheni unazi wa kijinga, hao viongozi wa Simba wanaulizia hizo hela mirija yao ya kupiga hela imekatwa. Hizo B20 hata kama asipoziweka, ameshindwa kuendesha club na kulipa mishahara na huduma zingine za timu?
 
Utakuwa mwana Yanga wewe, hivi huoni performance ya timu yetu? Huoni kuwa mwakani kuna anguko kubwa zaidi? Usajili wenyewe unasuasua, au wewe ni wale mashabiki wa kuangalia mpira vibandani?
 
Maskini akipata.....
Washabiki wenu wamewabatiza majina mengi tu. Mala Utopolo fc mala Mataputapu fc hadi kocha wenu akawaita Nyani, shauri ya kucheza mpira mbovu kwa kipindi kirefu hadi washabiki wenu wamesusa kuja kwa uwingi uwanjani hadi hii leo.

Simba wanapenda soka na ni wenye uwezo wa kuingia uwanjani ndio maana unaona hiyo halaiki ya watu uwanjani.
Kwali making alikipata...
 
Ndio umeamua kuweka siku ya Yanga day. Kuonesha mnavyohudhuria uwanjani.
 
Kwanin Yanga nao wasifanye ivo! Unafanya maisha kuwa magumu, kwa vitu ambavyo vikowazi kabisa.!

Umeona hawana kazi za kufanya mpaka wapoteze muda kwa namna hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…