Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Kuna mtu anaitwa demigod, Mtoa mada, inafaa alione hii picha ambayo Yanga ndio walikuwa wenyeji.Japokuwa Simba Kwa miaka kadhaa hapati matokeo mazuri kwenye game za derby ila mashabiki wa Simba huiamini team Yao na kwenda kujaza uwanja kwenye derby zote haijarishi Simba ndio mwenyeji au Yanga
Mwaka Jana Hadi mwaka huu, IPO hivo na ata Hilo gape unaloongelea wewe kwenye gate collection ni Simba ndio waliinufaisha Yanga, rejea msimu huu derby ya mwisho, Manara na Bumbuli wamezunguka media zote kufanya promotion Ila Simba wapo kimyaaaa
Bumbuli akaanza kulalamika kuwa Simba haifanyi promotion Kwa sababu wanahofia Yanga ataingiza hela nyingi, ila mwisho wa siku wewe mwenyewe shahidi kuwa Simba walikuwa robo Tatu ya uwanja wa mkapa pamoja na kutokupigwa promotion ya derby
Kwahiyo muitikio wa mashabiki wa Simba ni mkubwa sana kushinda mashabiki wa Yanga na hilo mnalijua ila waga mnaluluka tu, kwahiyo sjabu ata msimu huu mkiongoza gate collection Kwa sababu ya mashabiki wa Simba, na tofauti ya attendence ilikuwa ni mashabiki 3000, hiyo idadi imeongezwa na Simba
Nguvu ya mashabiki wa Simba haijaanza Leo, tangu enzi za mtani jembe, pamoja na kipindi kile Yanga ndio ilikuwa inafanya vizuri ila uwanja wa mkapa ulikuwa unajaa Wana Simba, kwahiyo hatushangai nyie kuongoza mapato ila ata nyie ukweli mnaujua ila mnajificha kwenye kimvuli cha mapato
Hamtokaa mjaze uwanja game zenu wenyewe tofauti na week ya wanachi maana nyie ubahili ndio jadi yenu, ili mjaze uwanja inabidi Eng Hersi awaingize bure kama alivofanyaga Manji game ya mazembe, ila tofauti na hapo mtakuwa mnaonekana kama mpo ugenini kama msimu uliopita
Kwa kushirikiana Afisa muhamasishaji na Afisa habari kufanya promotion Kwa week nzima lakini hiki ndio kilichoenda kutokea Kwa mkapa, endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe, ila kwenye issue ya mashabiki kujitoa nyie bado sana na ubaya wengi wenu ni wazee na hamna hela
View attachment 2260189
Na aseme pesa ya kiingilio nani alitoa nyingi kwenye hiyo mechi yao.
Washabiki wa Yanga wengi ni akina mama na Wazee kama Mzee Mpili.
Simba ndio haoo hapo kweny mechi ya Yanga.
Nao watuoneshe kwenye Mechi ya Simba wanajitokeza namna gani.
Hizo pesa za Get collection nyingi zimechangiwa na mashabiki wa Simba.
Ila tunawajua hawanaga shukrani hawa watu.
Wakiambiwa Simba anaongoza vilabu vingi Afrika kwa Attendance ya mashabiki ni kama wameziba maskio yao.
Na kwenye mchango Simba wanaongoza zaidi ya maradufu kama hapo uwanjani kwenye mechi yao.