Adi haibu[emoji23][emoji23]11 June, 2022 saa 2 asubuhiView attachment 2257084
mil 100 hiyoooo11 June, 2022 saa 2 asubuhiView attachment 2257084
Club zinapata mapato yao kutoka kwa mashabiki kupitia kununua vifaa vya timu,kulipa ada ya uanachama,kujisajili kwa kadi za kieletroniki,Gate collection za uwanja na hiyo ndo klabu ya kisasa inavyoendeshwaNaona utopolo wanafarijiana humu, sasa hapa ndio utajua timu ya washinda vijiweni na wapiga kazi.
Kunywa maji utulie dogo huchoki kiongea mwenyewe,mpira hauko hivyo relax dogoMo akiamua kuweka bilioni moja ikahesabika km kura bilioni moja sasa hapo kuna ukubwa gani au ni mbinu ya kupoza machungu ya kukosa uelekeo msimu huu? Acheni mchezo wa kitoto huu
Endelea kusukumizia muhogo na maji ya kandoro huku mimacho imekutoka km pima maji teh teh teh ila nakukumbusha maisha sio magumu hivyo Wacha Simba wale mema ya NchiClub zinapata mapato yao kutoka kwa mashabiki kupitia kununua vifaa vya timu,kulipa ada ya uanachama,kujisajili kwa kadi za kieletroniki,Gate collection za uwanja na hiyo ndo klabu ya kisasa inavyoendeshwa
Most of Yanga fans wanaweza kuchangia klabu ikiwa katika hali ngumu ya kiuchumi bila kuwa mfadhili wa aina yeyote wala mwekezaji katika timu yao
Ila sio katika kpnd hiki ambacho Yanga inaingiza pesa kupitia formal ways na hakuna tatizo la kulipa mishahara kwa wachezaji wala usafiri
Leo hii tunajivunia na mfano wa kuigwa ktk mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji wa club na mwekezaji akapatikana it means timu inaondoka kwenye kutegemea michango ya mashabiki ktk uendeshaji wake
Iweje Leo hii tufurahie kumpa pesa mtu mmoja
kwani kwenye usajili nani katangazwa rasmi?Simba wanaongoza mpaka kwenye usajili. Mwaka huu maji yataitwa "amisi"
kwenye hizi kura sioni haja ya cheating ,maana hata hela wanayochanga Yanga inawasaidia wenyeweMo akiamua kuweka bilioni moja ikahesabika km kura bilioni moja sasa hapo kuna ukubwa gani au ni mbinu ya kupoza machungu ya kukosa uelekeo msimu huu? Acheni mchezo wa kitoto huu
waambie GSM nao waweke ,halafu mkuu hata hii nayo inakuumiza? Mbona mchezo simple tu hata angeshinda nani poa tu hamna haja ya kutoka povu.Mo akiamua kuweka bilioni moja ikahesabika km kura bilioni moja sasa hapo kuna ukubwa gani au ni mbinu ya kupoza machungu ya kukosa uelekeo msimu huu? Acheni mchezo wa kitoto huu
Huwezi kuelewa Dabil ni kwasababu hatufahamiani kwa hizi fake ID zetu kwa hiki ninachozungumzakwenye hizi kura sioni haja ya cheating ,maana hata hela wanayochanga Yanga inawasaidia wenyewe
Huwezi kufanya cheating kwenye jambo ambalo hauna faida nalo hata siku mojawaambie GSM nao waweke ,halafu mkuu hata hii nayo inakuumiza? Mbona mchezo simple tu hata angeshinda nani poa tu hamna haja ya kutoka povu.
Lazima tuwaambie ukweli katika hili ili vichwa vyenu msijaze masufuria yenye kande na kuendelea kutumiwa kwa manufaa ya watu wachache na sio Taasisi yenu BinafsiKunywa maji utulie dogo huchoki kiongea mwenyewe,mpira hauko hivyo relax dogo
najua kwa hizi timu mbili hizo ni nauli za go and return ya mechi moja Kigoma pamoja na malazi but mbona aliyeanzisha mchakato ni Azam? Inawezekana pia kuna timu inatuliza presha ya mashabiki zao kwa kukosa kombe ila haya mambo mbona ya kitoto kama ni hivoHuwezi kufanya cheating kwenye jambo ambalo hauna faida nalo hata siku moja
Kwenye hizi timu kuna kitu kinaitwa Public sentiments........ukielewa vzr hili ndo utakuja kunielewa na mm kitu gani Nina maanisha
Ila ukija na kichwa kilichojaa Kande,wala hutoweza