Nani zaidi? Simba vs Yanga thread

Nani zaidi? Simba vs Yanga thread

Jamaa mmoja alishia kutokwa povu na kukejeri watu mnarukia idea za watu kumbe
Kwa ground mambo magumu inamaana ile kauli yanga wengi hamna akili ndo imeakisi mtifuano wa upigaji kura?
Mawazo yang lakinik
 
Hapo kinachofanyika ni kutoa pesa mfuko wa shati na kuiweka kwenye mfuko wa suruali
 
Halafu timu yetu si tulishamaliza mchakato wa mabadiliko wa uendeshaji wa timu na mwekezaji akapatikana akachukua 49% ya hisa za club na pesa aka deposit

Iweje Leo hii tuambiwe tuichangie timu yetu.......sijawahi kuona uwekezaji wa namna hii ktk club yeyote duniani labda mbinguni
 
Most of Yanga fans wanajitambua, hakuna mwanayanga anaeweza kushiriki kampeni za kipigaji hivyo

Ni kukosa maono Kwa mashabiki toka timu inayojiendesha kisasa kuchangishwa mabakuli
 
Naona utopolo wanafarijiana humu, sasa hapa ndio utajua timu ya washinda vijiweni na wapiga kazi.
Club zinapata mapato yao kutoka kwa mashabiki kupitia kununua vifaa vya timu,kulipa ada ya uanachama,kujisajili kwa kadi za kieletroniki,Gate collection za uwanja na hiyo ndo klabu ya kisasa inavyoendeshwa

Most of Yanga fans wanaweza kuchangia klabu ikiwa katika hali ngumu ya kiuchumi bila kuwa mfadhili wa aina yeyote wala mwekezaji katika timu yao

Ila sio katika kpnd hiki ambacho Yanga inaingiza pesa kupitia formal ways na hakuna tatizo la kulipa mishahara kwa wachezaji wala usafiri

Leo hii tunajivunia na mfano wa kuigwa ktk mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji wa club na mwekezaji akapatikana it means timu inaondoka kwenye kutegemea michango ya mashabiki ktk uendeshaji wake

Iweje Leo hii tufurahie kumpa pesa mtu mmoja
 
Kwa upande wa Yanga Issue ni moja tu saizi.. saizi tuko bize na transformation, tuko bize na kujiandikisha kidigitali.. na gharama ni 29,000/= kwa kupata kadi ya uwanachama, na 17,000/= kupata card ya ushabiki.. Yanga ina mipango endelevu, tofauti na hii issue ya sasa hivi ya kuchangia buku buku.. Sasa tujiulize kwanza mwisho wa mashindano haya ya "nani zaidi" yanaisha lini.??? Mimi kama mpenzi, mwanachama na shabiki wa Yanga niko bize na kuhamasisha wenzangu tujiunge kidigitali kwa maendeleo ya team yetu na sio hizi zima moto zinazokujaga kwa muda mfupi tu..

Huku ndio misingi ya pesa ya klabu inapatikana na inajengwa
 
Mo akiamua kuweka bilioni moja ikahesabika km kura bilioni moja sasa hapo kuna ukubwa gani au ni mbinu ya kupoza machungu ya kukosa uelekeo msimu huu? Acheni mchezo wa kitoto huu
 
Mo akiamua kuweka bilioni moja ikahesabika km kura bilioni moja sasa hapo kuna ukubwa gani au ni mbinu ya kupoza machungu ya kukosa uelekeo msimu huu? Acheni mchezo wa kitoto huu
Kunywa maji utulie dogo huchoki kiongea mwenyewe,mpira hauko hivyo relax dogo
 
Club zinapata mapato yao kutoka kwa mashabiki kupitia kununua vifaa vya timu,kulipa ada ya uanachama,kujisajili kwa kadi za kieletroniki,Gate collection za uwanja na hiyo ndo klabu ya kisasa inavyoendeshwa

Most of Yanga fans wanaweza kuchangia klabu ikiwa katika hali ngumu ya kiuchumi bila kuwa mfadhili wa aina yeyote wala mwekezaji katika timu yao

Ila sio katika kpnd hiki ambacho Yanga inaingiza pesa kupitia formal ways na hakuna tatizo la kulipa mishahara kwa wachezaji wala usafiri

Leo hii tunajivunia na mfano wa kuigwa ktk mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji wa club na mwekezaji akapatikana it means timu inaondoka kwenye kutegemea michango ya mashabiki ktk uendeshaji wake

Iweje Leo hii tufurahie kumpa pesa mtu mmoja
Endelea kusukumizia muhogo na maji ya kandoro huku mimacho imekutoka km pima maji teh teh teh ila nakukumbusha maisha sio magumu hivyo Wacha Simba wale mema ya Nchi
 
Mo akiamua kuweka bilioni moja ikahesabika km kura bilioni moja sasa hapo kuna ukubwa gani au ni mbinu ya kupoza machungu ya kukosa uelekeo msimu huu? Acheni mchezo wa kitoto huu
waambie GSM nao waweke ,halafu mkuu hata hii nayo inakuumiza? Mbona mchezo simple tu hata angeshinda nani poa tu hamna haja ya kutoka povu.
 
kwenye hizi kura sioni haja ya cheating ,maana hata hela wanayochanga Yanga inawasaidia wenyewe
Huwezi kuelewa Dabil ni kwasababu hatufahamiani kwa hizi fake ID zetu kwa hiki ninachozungumza

Nimewahi kupita Yanga nikiwa kama Mwajiriwa pale and najua namna hizi timu zinavyo operate actions zake

Unafikiri Milioni 100 pale Simba au Yanga zinaweza zikatatua tatizo gani?
 
waambie GSM nao waweke ,halafu mkuu hata hii nayo inakuumiza? Mbona mchezo simple tu hata angeshinda nani poa tu hamna haja ya kutoka povu.
Huwezi kufanya cheating kwenye jambo ambalo hauna faida nalo hata siku moja

Kwenye hizi timu kuna kitu kinaitwa Public sentiments........ukielewa vzr hili ndo utakuja kunielewa na mm kitu gani Nina maanisha

Ila ukija na kichwa kilichojaa Kande,wala hutoweza
 
Kunywa maji utulie dogo huchoki kiongea mwenyewe,mpira hauko hivyo relax dogo
Lazima tuwaambie ukweli katika hili ili vichwa vyenu msijaze masufuria yenye kande na kuendelea kutumiwa kwa manufaa ya watu wachache na sio Taasisi yenu Binafsi
 
Huwezi kufanya cheating kwenye jambo ambalo hauna faida nalo hata siku moja

Kwenye hizi timu kuna kitu kinaitwa Public sentiments........ukielewa vzr hili ndo utakuja kunielewa na mm kitu gani Nina maanisha

Ila ukija na kichwa kilichojaa Kande,wala hutoweza
najua kwa hizi timu mbili hizo ni nauli za go and return ya mechi moja Kigoma pamoja na malazi but mbona aliyeanzisha mchakato ni Azam? Inawezekana pia kuna timu inatuliza presha ya mashabiki zao kwa kukosa kombe ila haya mambo mbona ya kitoto kama ni hivo
 
Back
Top Bottom