Nani zaidi? Simba vs Yanga thread

Nani zaidi? Simba vs Yanga thread

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
Hadi sasa Simba anaongoza, tuendelee kupeana updates.


Credit: Azam tv
Haya ni matokeo ya 05/06/2022 saa tatu kamili usiku.
FB_IMG_16544566633753061.jpg


06/06/2022 saa 8.00 asubuhi
View attachment 2251869

Tarehe 06/06/2022 saa 7.00 mchana
View attachment 2252200

Saa 3.00 usiku tarehe 06/06/2022
View attachment 2252691

07/06/2022 saa 2.50 asubuhi.
View attachment 2252919

07/06/2022 saa 5 asubuhi
View attachment 2253054

07/06/2022 saa 7 mchana

View attachment 2253172

07/06/2022 saa 9 mchana
View attachment 2253304

08/06/2022 saa 7 mchana
View attachment 2254333

June 09,2022 saa 7 mchana.
View attachment 2255266

11 June, 2022 saa 2 asubuhi
View attachment 2257085

June 12saa 3 asubuhi
View attachment 2258024
 
Sijafuatilia hii Nani zaidi ,hizi hela zinaenda kufanya nini ?
 
Sijafuatilia hii Nani zaidi ,hizi hela zinaenda kufanya nini ?
simba hamna hela Mo kaflisika wanatafuta hela za kununua breakfast na chakula cha wachezaji , utopolo wamesema hawana shida nazo watanunulia lotions za albino sope
 
Waishajua sisi watz ni mapopoma hapa wanachota pesa za bure bure kisa uyanga na usimba.

Waingereza walituachia ugonjwa fulani hivi, udaku na mpira hatujui.
Kwani umelazimishwa? Mavi-Jana ya Tanzania ni matilatila!
 
Watanzania ujuaji na ubishi ni mwingi. Hujalazimishwa kuchanga na wala hujachanga na hautachanga lakini unalalamika.

Mtaji wa hivi vilabu ni Mashabiki na Wanachama .Mnataka timu zenu zimiliki viwanja lakini kuchangia hamtaki. Wengine wanataka kila kitu mo .wengine kila kitu GSM .Wa Tz bado tunasafari ndefu ndefu.
 
Saa 8.00 asubuhi tarehe 06/06/2022
IMG_20220606_092036_629.JPG
 
Back
Top Bottom