Nani zaidi? Simba vs Yanga thread

Nani zaidi? Simba vs Yanga thread

Nimejaribu kupiga kura kwa Yanga zinagoma. Inawezekana kuna namna nyau wameingilia mtandao!
 
Tunaweza hitimisha hivyo kwavile imeangaliwa namba, lakini hapo hapo hizo namba hazijaangalia factors zingine mfano

1) pengine washabiki wa Simba wengi wao wanakipato kuliko wa Yanga ambao wengi wana hali duni.

2) Mashabiki wa Simba ni rahisi kuhamasika kuliko wa Yanga ambapo wengi ni wabahili..
3) Mashabiki wa Simba wengi ni wakisasa hivyo mambo ya mitandaoni hawapitwi tofauti na wa Yanga pengine wengine wengi wao ni wazee.

Kwavile sensa inapita nyumba kwa nyumba, nchi nzima na kuchukua data ya kila aina ya binadamu basi pengine wangeweka option ya kuuliza timu anayoshabikia watu, wangetoa takwimu yenye uhalisia zaidi kuliko hii project ya nani zaidi

Kwa hiyo tushabikie simba ili kipato kiongezeke miongoni mwetu

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Tushabikie simba kipato kiongezeke,yanga ni ina laana ya imasikini
 
June 09,2022 saa 7 mchana.
FB_IMG_16547721889504792.jpg
 
Hapo unaweza kuta waliopiga kula kwa pande zote hawafiki hata hata 25000 ila kuna vigogo wametia mpunga wa kutosha
Mfano mtu mmoja akitoa million tano maanake apo ni idadi ya watu 5000.
Je kwenye timu moja wakitoa watu 20. Tayari gape linakuwa kubwa.
 
Sasa nyie mnataka tuchukue makombe yote? Hili ndilo kombe lenu mlilobakiza msimu huu!
Muwalaumu Azam Media kwa kuileta hii, ukiiangalia kwa undani utagundua inaexpose mambo mengi, sio hela tu. Ndio maana Yanga waliamua kuitisha press juzi wakiwa wakali wamekasirika, ni kwa vile tu wanapokea fedha za udhamini kutoka kwa Azam Media, vinginevyo kwa uelekeo wa mazungumzo yale, wangeweza hata kuwatukana Azam Media, maana jamaa alitokwa povu hadi akawa anagonga meza
 
Hapo unaweza kuta waliopiga kula kwa pande zote hawafiki hata hata 25000 ila kuna vigogo wametia mpunga wa kutosha. Mfano mtu mmoja akitoa million tano maanake apo ni idadi ya watu 5000.
Je kwenye timu moja wakitoa watu 20. Tayari gape linakuwa kubwa.
Ingekuwa hivyo kusingekuwapo uwiano wa kura na fedha. Hao hapo ni wapiga kura
 
Tunaweza hitimisha hivyo kwavile imeangaliwa namba, lakini hapo hapo hizo namba hazijaangalia factors zingine mfano

1) pengine washabiki wa Simba wengi wao wanakipato kuliko wa Yanga ambao wengi wana hali duni.

2) Mashabiki wa Simba ni rahisi kuhamasika kuliko wa Yanga ambapo wengi ni wabahili..
3) Mashabiki wa Simba wengi ni wakisasa hivyo mambo ya mitandaoni hawapitwi tofauti na wa Yanga pengine wengine wengi wao ni wazee.

Kwavile sensa inapita nyumba kwa nyumba, nchi nzima na kuchukua data ya kila aina ya binadamu basi pengine wangeweka option ya kuuliza timu anayoshabikia watu, wangetoa takwimu yenye uhalisia zaidi kuliko hii project ya nani zaidi

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Utafiti wangu niliofanya mashabiki wengi wa Yanga ni wanawake,bilashaka kila mtu anajua wanawake ni watu wakupewa siyo watu wakutoa.
 
Nimecheka sana comments za watu humu. Lol.
Tuipigie kura chama letu la wananchi, haiwezekani ndani ya miezi 6 tupate sh. 1.07B kupitia kadi za wananchi, halafu hapa tuburuzwe kirahisi. Lazima kuna hujuma. Yaani hapa naongea huku nagonga meza na mate yanaruka
 
Hapo unaweza kuta waliopiga kula kwa pande zote hawafiki hata hata 25000 ila kuna vigogo wametia mpunga wa kutosha
Mfano mtu mmoja akitoa million tano maanake apo ni idadi ya watu 5000.
Je kwenye timu moja wakitoa watu 20. Tayari gape linakuwa kubwa.
Sio rahisi hivyo,tena vigogo wanatamani watu wasichange ili tuamini bila wao soka haliendi
 
Tuipigie kura chama letu la wananchi, haiwezekani ndani ya miezi 6 tupate sh. 1.07B kupitia kadi za wananchi, halafu hapa tuburuzwe kirahisi. Lazima kuna hujuma. Yaani hapa naongea huku nagonga meza na mate yanaruka
Hahahaaa. Tulipigie tu aisee.

Japo wananchi wana huruma sana aisee yaani wameamua kutuachia hii na bila shaka hili ndo litakuwa kombe letu pekee litakalotufanya tutembee kifua mbele na kufunika makombe yote pale kwa Timu ya Wananchi. Teh
 
Back
Top Bottom