Nansio Ukerewe: Kijana aponda mbwa na jiwe kwa mkono wake na kubaki umenyooka

Nansio Ukerewe: Kijana aponda mbwa na jiwe kwa mkono wake na kubaki umenyooka

GENTAMYCINE huu ndio uzi wako sasa KWA maana huko Nansio ndio nyumbani kwenu ulipozaliwa ulipokulia na Unapo ishi.

Funguka mkuu popoma mambo ya Nansio
Naona Hasira za Kumuacha 'aliyekuzaa' akiwa bado ananipenda GENTAMYCINE Mtoto wake Wewe umeamua Kuzimalizia Kwangu labda ukitegemea nitamrudia ila nakutuma Kwake mwambie huwa sina tabia ( desturi ) ya Kumrudia Mwanamke au Mbunye sawa?

Hongera pia kwa kujipa Jukumu la Kipumbavu la Kupitia Mada zangu zote ninazozianzisha hapa JamiiForums na Kunidhihaki hadi Kunishambulia ukidhani labda nitabadili Maamuzi na Kumrudia 'Aliyekuzaa' wakati hana tena jipya Kwangu.
 
Ila na watu wa hako kakisiwa wanapenda uchawi kuliko kula,nakumbuka nilikua na mwanamke huko basi kitu kidogo tu utasikia " we ntakuroga nakwambia yani hafichi anakupa live
 
Naona Hasira za Kumuacha 'aliyekuzaa' akiwa bado ananipenda GENTAMYCINE Mtoto wake Wewe umeamua Kuzimalizia Kwangu labda ukitegemea nitamrudia ila nakutuma Kwake mwambie huwa sina tabia ( desturi ) ya Kumrudia Mwanamke au Mbunye sawa?

Hongera pia kwa kujipa Jukumu la Kipumbavu la Kupitia Mada zangu zote ninazozianzisha hapa JamiiForums na Kunidhihaki hadi Kunishambulia ukidhani labda nitabadili Maamuzi na Kumrudia 'Aliyekuzaa' wakati hana tena jipya Kwangu.
Wewe ni mgonjwa. Siku utakae mjua alie waloga wagalatia ndio siku utakayo mjua alie kuloga na wewe.

Kukwambia ukweli kwamba kwenu ni murutunguru ukerewe ndio kukukejeli?

Mwehu kweli wewe
 
Hili tukio liliwah kutokea zaman sana miaka ya 90 huko huko ukerewe
 
Wewe ni mgonjwa. Siku utakae mjua alie waloga wagalatia ndio siku utakayo mjua alie kuloga na wewe.

Kukwambia ukweli kwamba kwenu ni murutunguru ukerewe ndio kukukejeli?

Mwehu kweli wewe
Naona Hasira za Kumuacha 'aliyekuzaa' akiwa bado ananipenda GENTAMYCINE Mtoto wake Wewe umeamua Kuzimalizia Kwangu labda ukitegemea nitamrudia ila nakutuma Kwake mwambie huwa sina tabia ( desturi ) ya Kumrudia Mwanamke au Mbunye sawa?

Hongera pia kwa kujipa Jukumu la Kipumbavu la Kupitia Mada au Posts zangu zote ninazozianzisha / ninazojibu hapa JamiiForums na Kunidhihaki hadi Kunishambulia ukidhani labda nitabadili Maamuzi na Kumrudia 'Aliyekuzaa' wakati hana tena jipya Kwangu.
 
Kijana huyo ambae hajafahamika majina alimponda mbwa na jiwe jana usiku majira ya saa 2 usiku.

Tukio hilo la kustaajabisha liliyokea/limetokea Ukerewe Nansio maeneo ya Bakwata (Musoma road) mwisho wa lami.

Picha kukujia punde
Umesahau. Kila aliyejaribu kupiga picha tukio mikono yake na kiwiliwili kilibaki kimeganda huku ameshika kamera/simu.
 
Kuna dada mmoja nae ilimtokea,katoka zake kunywa huko kajilewea....arudi home...sasa njia aliyopita mbele kuna uwanja wa Mpira wa miguu,,naona akaona isiwe shida sana kuzunguka usiku huu wakati hakuna mechi uwanjani...akaamua kupita katikati ya uwanja....si ndo akaona kundi la mbwa....yeye anasema hawakumbwekea wala kumkimbiza ila kitendo cha kuona kundi kubwa la mbwa akaingiwa uoga akaokota jiwe kuwabonda....anasema alisikia kilio cha mbwa mmoja tu nadhani ndo jiwe Iilimpata....then mbwa wale wakasambaratika...na yeye akapita salama salmini....kafika home kalala,Mara kaanza kusikia maumivu ya mkono,akavumilia mpaka asubuhi ....kuamka akakuta mkono umeumuka na umeota magamba ya nyoka.Wakati anasimulia alikuwa tayari kazunguka kote bila kupona....nasikia alikufa baadae yule dada
Hatari sana.
 
Mhanga alipatwa na zahama hilo sana 2 jana, amelala hivo na leo asubuhi ndo kubweka wazi. Watu ndo wakaanza kujaa.

Kama kuna mtu yeyote humu ana ndugu, RAFIKI au jamaa anaeishi Nansio Ukerewe basi awasiliane nae amuulize
wazi.!
 
Watu washaripot huko twitani
 
Attachments

  • Screenshot_20221119-135913.png
    Screenshot_20221119-135913.png
    112.5 KB · Views: 6
Back
Top Bottom