Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sawa tajiri ntakuja bana ila hakikisha mzigo mtaongeza ule!Njo pale JANGID plaza tukupe hata kaz mak PSSSF pameshajaa kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tajiri ntakuja bana ila hakikisha mzigo mtaongeza ule!Njo pale JANGID plaza tukupe hata kaz mak PSSSF pameshajaa kijana
Wabongo kwa ujuaji. Kwa hiyo mkiona zile fuso zimejaa makopo unadhani wote wajinga.Huwezi kumsumbua mtu anayejitambua kwa Tsh.400 mzee! Its easy kununua hindi sh.100 pale mawasiliano na ukaliuza 500 kuliko kutafta makopo ya kukupa sh.400 kama faida!
Ivi ili niweze kufikisha iyo kilo moja ya chupa....natakiwa kujaza viroba vingapiHabari wakuu,
Nanunua mzigo wa chupa tupu za maji, za juice na Azam juice. Zile nyeusi za Mo Energy sichukui.
Kiasi chochote kitanunuliwa.
Bei Tsh. 400 kwa kilo 1. Mzigo nitaufata popote ndani ya Dar na kama ni nje ya Dar tutaelewana cha kufanya.
Ili gari lifate mzigo walau mzigo ufike kilo 600.
0714523319 / 0769123464