Nanunua chupa tupu za maji na juice. Kama unazo tuwasiliane

Huwezi kumsumbua mtu anayejitambua kwa Tsh.400 mzee! Its easy kununua hindi sh.100 pale mawasiliano na ukaliuza 500 kuliko kutafta makopo ya kukupa sh.400 kama faida!
Wabongo kwa ujuaji. Kwa hiyo mkiona zile fuso zimejaa makopo unadhani wote wajinga.

Minimum nanunua mzigo wa makopo kilo 600 toka kwa supplier mmoja. Kuna watu wanakusanya na kuleta trip 2 kwa siku (tani 1.2). 1200kg×400= 480,000.

Mkuu, ndio maana nasema hii biashara huijui inavyofanyika so wewe si mlengwa wa hili tangazo.
 
Ivi ili niweze kufikisha iyo kilo moja ya chupa....natakiwa kujaza viroba vingapi
 
Kwenye thread pale chini amemaliza kwa kusema "huu uzi unawahusu wafanyabiashara wa makopo tu". Sasa mazazwa yanaharibu uzi.
Hii ni fursa kama mtaani kwako hakuna center ya kukusanya makopo
Unaweza fungua na waokotaji wakaja kuyauza kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…