BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,188
- 6,633
Sema sasa unanunua bei gani..biashara za hivi za kutegeana za zamani kweli..tangazo la wazi halafu inapokuja kwenye bei ni Siri?!Asante sinunui Oryx kg 15 kwa 50k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema sasa unanunua bei gani..biashara za hivi za kutegeana za zamani kweli..tangazo la wazi halafu inapokuja kwenye bei ni Siri?!Asante sinunui Oryx kg 15 kwa 50k
Orxy full set shs ngapi?sawa mkuu
KG 6 = 50,000 (hapa jiko limekamilika ni kwenda kupika)Orxy full set shs ngapi?
Tangu lini mnunuzi akataja bei? mali yako wewe ndio useme unauzaje,kama naweza nanunua kama siwezi sinunui.Sema sasa unanunua bei gani..biashara za hivi za kutegeana za zamani kweli..tangazo la wazi halafu inapokuja kwenye bei ni Siri?!
oryx kg15 ninao m1 hauna kazi kitambo 40 unatoaHabari wakuu,naomba kama kuna anae uza mtungi wake wa gas anicheki au kama kuna wale wafanyabiashara wa gas wanaoacha biashara zao na kuuza mitungi yao naomba pia niambiwe.
Nanunua mitungi yote size zote,idadi yoyote iwe tu ya HALALI na sio ya WIZI hii ni kwa wakazi wa Dar,mwenye mitungi kuanzia 10 KWENDA MBELE NITAIFATA.
Mwenye mtungi mmoja mmoja ataniletea Makutano ni UBUNGO.
Mkiwa mnauza vitu vyenu muwe mnajua na bei ya vinavyouzwaoryx kg15 ninao m1 hauna kazi kitambo 40 unatoa
we jamaa ni mpumbavu kweli kweliMkiwa mnauza vitu vyenu muwe mnajua na bei ya vinavyouzwa
Mteja akija kununua mpya Oryx namuuzia 80,000 ukiwa na gas yake
wewe unauza mtungi tupu 40,000 kujaza Oryx ni 54,000 chukua 40+54=94
Huoni kama ni jambo lisilowezekana? pitia comment za wengine kabla hujatamka
bei unayouza kitu chako,na mwisho pendelea kufanya research ya bei ya kitu unachotaka kukiuza.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Huyu jamaa sijui kama hiyo biashara yenyewe ataweza?, Sasa kama unajua bei za mitungi tupu si uende ukanunue kiwandani kwani imeisha? Una ng'ang'ana 80k-54k, hakuna mtu mjinga aliye jiunga JF.
Mtungi tupu shs ngapi kg15?KG 6 = 50,000 (hapa jiko limekamilika ni kwenda kupika)
KG 15 = 80,000 (mtungi na gas tu)
Kwa kg 15 kwa bei hiyo bado utahitaji Pipe+regulator na jiko la mezani.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]very stupid[emoji23] mimi hata siwezi bishana na watu wa hivi
Mkiwa mnauza vitu vyenu muwe mnajua na bei ya vinavyouzwa
Mteja akija kununua mpya Oryx namuuzia 80,000 ukiwa na gas yake
wewe unauza mtungi tupu 40,000 kujaza Oryx ni 54,000 chukua 40+54=94
Huoni kama ni jambo lisilowezekana? pitia comment za wengine kabla hujatamka
bei unayouza kitu chako,na mwisho pendelea kufanya research ya bei ya kitu unachotaka kukiuza.
Ntumie namba zako bossKwa anaemjua Muuzaji wa mitungi hta mmoja naomba anijulishe
Nipo hapa nafunga biasharaKwa mwenye Mitungi Empty au anaejua mtu mwenye nayo naomba kuunganishwa nae.
Nina oryx wa kilo 36Bado nahitaji