Nanunua nguo kila ninapokutana na machinga hata kama sizihitaji, nifanyeje kuondokana na tabia hii?

Ila ww kiriba tumbo utaenda nacho kwakweli
 
Punguza kukaa na wanawake, wanakuambukiza tabia za kike kike
 
Sasa wale wanaume wa chugga ile mindula na minguo wanaishi nayo vipi ndani?? Unaona kavaa bonge la buyu oversize akitaka kuvua aingie ndani unamwambia,
β€œUsivue chalii angu we zama tu haina kwere tutasafisha man” πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila ww kiriba tumbo utaenda nacho kwakweli
Nina mtumbo mkubwa utasema nina mimba nimejaza roller chumbani kwangu basi kila nikiamka napiga tumazoezi twa hapa na pale lakini ngoma bado bilabila .
Mazoezi yenyewe nataka niache maana hayanisaidii chochote zaidi ya kusababisha chumba changu kinuke majasho na harufu za ghafla.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Wewe Dada Umenifanya Γ±icheke Kwa SautiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mbona mnawaonea Sana Ma bodaboda Jamani! Nadhani haujawahi KUKUTANA na walio Smart!! Kuna Kaka Alikuwa Bodaboda wangu Nzega,Alikuwa Smart Sana utafikiri mtu wa Ofisini Yaani
Hapo sawa, na ndio maana nimesema sio wote, ni baadhi!
Ila si unajua samaki mmoja akioza.....
 
Labda halali na boxer[emoji3][emoji3][emoji3]
...kuna mmoja alisema anaogopa popobawa ndio maana analala na boksa.
Nikasema popobawa anapita nayo hiyo boksa.
Labda kweli halali na boksa, tho hazichafui
 
Mii list angu inajaa kwa begi la mgongoni.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapo unakadilia tu
Jinsi mbili.2
Tshirt moja 3
Shati 1
Buti la TANESCO 1
Mwisho
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa lile buti la kijani la Tanesco nalo no mparo?
Au uko kitengo cha Emergency?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…