Nanunua nguo kila ninapokutana na machinga hata kama sizihitaji, nifanyeje kuondokana na tabia hii?

Shukuru mungu una pesa ya kununua nguo kila unapokutana na machinga,wenzako walimu hawakumbuki ata mara ya mwisho wamenunu nguo ata ya mtumba ni lini.yani wamechoka mbaya wanavaa madaso tu
 
inawezekana baraka zako zimejificha katika kununua nguo kwa wamachinga, siku utakapoacha ndipo riziki yako pia itashuka. Kumbuka ukipata na mwengine hupata kupitia wewe...kuwa makini...endelea na huo mchezo wala usifikilie kuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…