Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hapana sijasema ebu quote hiyo sehemRudi pale juu....umesema unalalia hayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sijasema ebu quote hiyo sehemRudi pale juu....umesema unalalia hayo.
HayaHapana sijasema ebu quote hiyo sehem
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rudi pale juu....umesema unalalia hayo.
Umetokea wapi nawe 😂
[emoji23] mashuka ya kimasai siyapendi yaan basi tu.Umetokea wapi nawe [emoji23]
Ndio vazi langu pedwa 😝
Shukuru mungu una pesa ya kununua nguo kila unapokutana na machinga,wenzako walimu hawakumbuki ata mara ya mwisho wamenunu nguo ata ya mtumba ni lini.yani wamechoka mbaya wanavaa madaso tuNani mwingine ana zoea kama la kwangu la kununua nguo kila unapoletewa na mtembezaji. Nikikaa home naona nimejaza sana nguo hata ambazo sizivai masanduku Kwa makabati Mpaka chumba kinageuka kero kinanuka nguo(mitumba hasa +dukani).
Kila nikitaka kuzigawa nashindwa nianzie wapi ama nimpe nani na hata kama nikimpa mhitaji siku moja moja awe mnywaji mwenzangu au mzoa taka basi nitaishia kumchagulia dosho kadhaa moja au mbili na sio nguo kali ya fashion zile nzuri zinazoita ingawa sizivai hata mwaka mzima.
Kugawa imekuwa ni kama nataka, sitaki maana kuna kipindi unachafua nguo zote zile code za kwendA ila bado unakuwa na mzigo wa akiba still unatoka nazo Safi kwenye mishe.
Sasa cha ajabu najua Nina nguo kibao ila bado Nikikaa bar au kitaa ikaletwa nguo naiona kazi nzuri hii lazima nilipe hela.
Hii sijui tunaita ulafi, uchoyo au roho mbaya au ubinafsi Kwa maana akili Kiukweli inataman jambo moja niwe na nguo chache ila nzuri na mambo yataenda tu fresh mfano form six zako kali 5,jeans na cardet 10 kali, t shirt 5, boxer 10 kali.
Inakuwa imeisha Sasa Mara makanzu kibao, makoti kibao, ma suruali ya mwaka juzi, mashati ya 2021. Chumba kinatia Mpaka uvivu kupumzika Kwa utuli.
I miss u too 😘
[emoji23] chizi weeI miss u too [emoji8]
I'm here for u with my maasai shuka
[emoji23][emoji23][emoji23] sikupendi tenaNdio vazi langu pedwa [emoji13]
Kumbuka chanzo cha uchizi wangu ni wewe 😅
😂 ukimpenda Half american penda na mashuka yake ya kimasai.
😂😂😂 Akaa😂 ukimpenda Half american penda na mashuka yake ya kimasai.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila weweee, woiiiiiihKwanini?
Unawajua pisi kali za kiume wewe?
Au hawa akina Marioo a.k.a ving'asti sugu, hujautana nao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]boksa kumi unataka kujifungua?
Yani nikupoteze kisa mashuka!! Hapana naomba nifuate njiti za kibiriti kwa jirani, kasha la kuwashia ninalo.😂😂😂 Akaa
Umefurahi naona....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila weweee, woiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani nikupoteze kisa mashuka!! Hapana naomba nifuate njiti za kibiriti kwa jirani, kasha la kuwashia ninalo.