Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Tafuta hela mkuuje! inawezekana vp mtu kuendelea kutumia wtsp na kupost stutus mf hta mpka sa 8usiku while lst seen yake inanionyesha ni sa2? hta ukimtxt labda sa 3usiku utakutna na jbu asubuhi na atakuambia nimekujibu toka jna labda mtndao.
Najua kwl mtandao unaweza kusumbua lkn inwezekena vp kuendelea kuona stutus na zote ni huduma za wtsp hiyohyo au iko tofauti
Shukrani mkuu na inawezekana kufix kuirudisha kawaida sababu yy mwenyewe anasema hajui shida ni nnAnataumia GB WhatsApp baada ya kuwanae au kabla...hapo ndio swali la msingi kama ulimkuta na GB then unaingilia life style zake.
Alafu kingine anatumia GB hata hajui kama kaweka feature fulani normal sijui kuficha last seen hadi mwengine amwambie ndio akumbuke...Just feature zipo na mtu anatumia hata akiwa yupo Single tatizo ni pale kuzihusishanisha na masuala ya mahusiano.
kuiondoa hii unafanyaje mkuu maana yy abadai hatumii kitu chochoteIla utoto raha sana
Huyo anatumia ilegal whatsapp yenye features kama freeze last seen nk
Anakudanganya huyokuiondoa hii unafanyaje mkuu maana yy abadai hatumii kitu chochote
Aifute, atumie official wasap.Shukrani mkuu na inawezekana kufix kuirudisha kawaida sababu yy mwenyewe anasema hajui shida ni nn
Taratibu usije ukasababisha maafa.Bana hupendwi. Yan apost status saa 8 afu asifike inbox kujibu sms ya saa 3?
ππππ hairuhusiwi?Just feature zipo na mtu anatumia hata akiwa yupo Single tatizo ni pale kuzihusishanisha na masuala ya mahusiano
Ni rahisi mtu kufika inbox afu asifike upande wa status. Sasa wifi hapa ye anaenda status bila kupita inbox?Taratibu usije ukasababisha maafa.
Are you still high unto sky,fella?Leo umeandika mwandiko wa ajabu sana.je! inawezekana vp mtu kuendelea kutumia wtsp na kupost stutus mf hta mpka sa 8usiku while lst seen yake inanionyesha ni sa2? hta ukimtxt labda sa 3usiku utakutna na jbu asubuhi na atakuambia nimekujibu toka jna labda mtndao.
Najua kwl mtandao unaweza kusumbua lkn inwezekena vp kuendelea kuona stutus na zote ni huduma za wtsp hiyohyo au iko tofauti
Kam mtandao c kuna nyakat utakuw sawa nazn ujipe muda kam hujajpa muda
Shida inakuja soon jitambue mapemaje! inawezekana vp mtu kuendelea kutumia wtsp na kupost stutus mf hta mpka sa 8usiku while lst seen yake inanionyesha ni sa2? hta ukimtxt labda sa 3usiku utakutna na jbu asubuhi na atakuambia nimekujibu toka jna labda mtndao.
Najua kwl mtandao unaweza kusumbua lkn inwezekena vp kuendelea kuona stutus na zote ni huduma za wtsp hiyohyo au iko tofauti
Mkuu nazn umenielew ,Uandishi wa Z-generation
kutumia wtsp na kupost stutus mf hta mpka sa 8usiku while lst seen yake inanionyesha ni sa2