Mtu mmoja aitwae Mwajuma Mohamed Mkule Mkazi wa Mtaa wa Mibobo Kata ya Nanyamba Halmashauri ya Mji Nanyamba Mkoani Mtwara, amejitosa kwenye kisima Cha maji
Tukio hilo limetokea May 23,2026 Mibobo Nanyamba huku chanzo cha tukio hilo kikitajwa kuwa ni baada ya kupewa talaka na mume wake