Naogopa kujichana kwa kiwembe mie mwenyewe

Pole sana mamy.
Ningekuwa wewe huo usaha ningeutumbua kwa kiminya kidole bila hata wembe usiku huo huo. Jichanje ili utoke huo usaha vinginevyo utazidi kupata maumivu
 
Ahsate Thad. ila nikipeleka kiwembe najihisi kutetemeka.
 
Back
Top Bottom