Naogopa kujichana kwa kiwembe mie mwenyewe

Naogopa kujichana kwa kiwembe mie mwenyewe

mmmh! Nasikia eti zinapausha nguo, hata hivyo kusema ukweli wa kutoka kwenye uvungu wangu, sina mpango wa mkakati wa kununua hiyo kitu.
Nisaidie kwenye huu uvimbe ambao una usaha nitumie dawa gani mai rolimodo?
Ulishapona? Wanasemaga ukichomeka kidole kwenye nanliu kinapona
 
Ulishapona? Wanasemaga ukichomeka kidole kwenye nanliu kinapona
Juzi Jumamosi kilichanwa, usaha ukatoka.
Jana usiku kikatunga tena usaha hadi huu bado sijakitoboa tena.
 
Ni kweli niliomba kwa kaka mmoja hivi, akaniambia nikanunue kiwembe, nikanunua, akanichana na kukamua usaha. Ila usiku wa jana usaha umerudi tena hadi ninavyotaipu hii comment
Huyo kaka inaonekana naye analeta huruma muda wa kazi. Kitu kikikamuliwa kisawasawa usaha haurudii tena haraka kiasi hicho.
Pole lakini
 
Huyo kaka inaonekana naye analeta huruma muda wa kazi. Kitu kikikamuliwa kisawasawa usaha haurudii tena haraka kiasi hicho.
Pole lakini

😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom