Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 3,979
- 5,146
Ulishapona? Wanasemaga ukichomeka kidole kwenye nanliu kinaponammmh! Nasikia eti zinapausha nguo, hata hivyo kusema ukweli wa kutoka kwenye uvungu wangu, sina mpango wa mkakati wa kununua hiyo kitu.
Nisaidie kwenye huu uvimbe ambao una usaha nitumie dawa gani mai rolimodo?