Naogopa kujichana kwa kiwembe mie mwenyewe

Naogopa kujichana kwa kiwembe mie mwenyewe

Nyumba yenyewe ya kupanga uswazi anaifunga wapi?
hahahahaaaahah, nimecheka kweli. Namshukuru Mungu siishi nyumba ya kupanga, na tangu nianze kutafuta maisha sijawahi kuishi nyumba ya kupanga, huwa kila mara namwambia Mungu ahsante maana huwa nina ona wapangaji wanavyo nyanyasika au hata wakati mwingine wakiwa ndio chanzo cha ukorofi.
 
Huyu ni mama mwenye nyumba
hahaah, kweli kabisa. Tena nina nyumba zangu zingine napangisha, kwa hapa Mwanza ziko kata ya Kirumba. Sijawahi kuishi nyumba ya kupanga tangu nizaliwe kusema ukweli wa moyoni wa kabisa
 
🙄🙄🙄 kanauma ni balaa, hata leo kamenitesa kweli usiku
Toboa na pin. Yani mi navopenda kukamua,,ningeoga,,nikamaliza kazi zangu zote,,navaa dela,,nachukua pin nakaa peke yangu sitaki bugza,,halafu najikamua😂😂😂
 
Toboa na pin. Yani mi navopenda kukamua,,ningeoga,,nikamaliza kazi zangu zote,,navaa dela,,nachukua pin nakaa peke yangu sitaki bugza,,halafu najikamua😂😂😂
NIkifika home nitajaribu kufanya kama wewe
 
mmmh! Nasikia eti zinapausha nguo, hata hivyo kusema ukweli wa kutoka kwenye uvungu wangu, sina mpango wa mkakati wa kununua hiyo kitu.
Nisaidie kwenye huu uvimbe ambao una usaha nitumie dawa gani mai rolimodo?
wanawake wa Dar ndio wanatumia mashine kwa sababu ya mikucha yao
 
Nasikiaga eti "kipapune" ni dawa kidole kikiuma ukiingiza huko hakiumi tena
 
Omba msaada kwa jirani katili katili
Ni kweli niliomba kwa kaka mmoja hivi, akaniambia nikanunue kiwembe, nikanunua, akanichana na kukamua usaha. Ila usiku wa jana usaha umerudi tena hadi ninavyotaipu hii comment
 
Back
Top Bottom