- Thread starter
- #61
Ahsante kwa ushauriTumbukiza kidole kwenye maji ya uvuguvugu kila baada ya masaa matatu ,kitakua poa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa ushauriTumbukiza kidole kwenye maji ya uvuguvugu kila baada ya masaa matatu ,kitakua poa
Dodoma!!! hapanaDuuuh, mbali sana nilizani labda makao mkuu
hahahahaaaahah, nimecheka kweli. Namshukuru Mungu siishi nyumba ya kupanga, na tangu nianze kutafuta maisha sijawahi kuishi nyumba ya kupanga, huwa kila mara namwambia Mungu ahsante maana huwa nina ona wapangaji wanavyo nyanyasika au hata wakati mwingine wakiwa ndio chanzo cha ukorofi.Nyumba yenyewe ya kupanga uswazi anaifunga wapi?
hahaah, kweli kabisa. Tena nina nyumba zangu zingine napangisha, kwa hapa Mwanza ziko kata ya Kirumba. Sijawahi kuishi nyumba ya kupanga tangu nizaliwe kusema ukweli wa moyoni wa kabisaHuyu ni mama mwenye nyumba
🙄🙄🙄 kanauma ni balaa, hata leo kamenitesa kweli usikuNatamani ningekua nacho Mimi,,jinsi ningekikamua
Huyu yuko huko kwenye nchi za wenzetu ambapo hakuna minyoo wala taifodi mkuuSky hivi bado upo pale Hindu Mandal?
Sio kisonono, kalitokea wakati ninafua nguoGono hilo mkuu..! Tatizo unakula sana mchele![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mie ni mpare mkuuWasukuma bwana!!!
Toboa na pin. Yani mi navopenda kukamua,,ningeoga,,nikamaliza kazi zangu zote,,navaa dela,,nachukua pin nakaa peke yangu sitaki bugza,,halafu najikamua😂😂😂🙄🙄🙄 kanauma ni balaa, hata leo kamenitesa kweli usiku
NIkifika home nitajaribu kufanya kama weweToboa na pin. Yani mi navopenda kukamua,,ningeoga,,nikamaliza kazi zangu zote,,navaa dela,,nachukua pin nakaa peke yangu sitaki bugza,,halafu najikamua😂😂😂
wanawake wa Dar ndio wanatumia mashine kwa sababu ya mikucha yaommmh! Nasikia eti zinapausha nguo, hata hivyo kusema ukweli wa kutoka kwenye uvungu wangu, sina mpango wa mkakati wa kununua hiyo kitu.
Nisaidie kwenye huu uvimbe ambao una usaha nitumie dawa gani mai rolimodo?
Kumbe mikoa mingine hawatumii hizo mashine!!!😳😳😳😳wanawake wa Dar ndio wanatumia mashine kwa sababu ya mikucha yao
Ni kweli niliomba kwa kaka mmoja hivi, akaniambia nikanunue kiwembe, nikanunua, akanichana na kukamua usaha. Ila usiku wa jana usaha umerudi tena hadi ninavyotaipu hii commentOmba msaada kwa jirani katili katili
Hivi hiyo nayo ni dalili UKIMWI kumbe!!!😳😳😳Kufua tu uvimbe na usaa uvilie duh kapime damu kubwa