Acehood
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,653
- 2,792
Mkuu wewe kataa muambie yupo ndotoni. Kataa kabisa KATAA KABISAHivi wanawake mnawachukulia Poa kwa kiasi gani kwa mfano?
Mnawachukulia kama watoto au wakubwa wenzenu?
Kwa hiyo ukikataa kosa wakati amekukamata na ushahidi unazani ndio itasaidia au sana sana utamuongezea hasira na kujua kuwa mtu wa kukataa kosa ni sawa na muuaji?
Kirahisi tu eti kataa kosa! Halafu mkeo akuelewe?!