Naogopa kumueleza Mke wangu ukweli kwamba nilichepuka

Am trying to think out loud, kama ulikua hujitambui hivo hata mkuyenge ulipata erection kweli? Kama ulipata aargh usituzuge ulienjoy show na kugugumia juu then unakuja unalalamika hukujitambua, kaongo sana wewe. 😂
Dada kuwa uyaone siku yakikuta ndio utajua vizuri
 
Nawaambiaga vijana "pombe sio mikato kabisa".
Anyways......
Kwanza nikupongeze kwa kupata free "nunu"..[emoji39] which is not easy...[emoji6]
Alafu ebu punguza kulalamika mkuu, yaani misused calls 4 ndio unakuja kunaomba ushauri..[emoji848] Wenzako wanapataga miss calls hadi 50 na sim wanazima alafu the next day wanaenda duka la madawa wananunua gozz na kujizungushia kichwani kana kwamba walipigwa ngeta...[emoji23]
Au wanjipeleka kituo cha police wanajikamatisha. Wanapa dili police wawapgie wake zao waje kutolewa.
Mapenzi ni fursa
 
Habari Wana Jf wenzangu

Kuna jambo limenikuta Jana, wakati wa mida saa 4 napita kutokea kwenye mishe zangu pembezoni mwa bar moja hivi maarufu hapa Dar nikaitwa na rafiki mmoja hivi wa kike ambaye sikuonana nae muda kidogo nikaenda tukaa pale.

Binafsi sio mnywaji wa pombe tofauti na huyo dada yeye anapenda tukapiga story kazaa baada ya pale sikumbuki kilichoendelea nimejikuta nipo ghetto la huyo dada wakati nimemka leo asubuhi Tena nikiwa nipo uchi hata huyo dada hivyo hivyo.

Kwa mazingira hayo nivyoyaona sikutaka hata nimuulize je tumefanya mapenzi maana sikumbuki chochote kikichotokea kwanini nimekuwa na wasiwasi huyu demu mafaili yake nayajua ana list ndefu Sana na ameshawahi kudate na wasanii wawili maarufu wa hapa Bongo ambao wanajulikana kabisa kwakugonga Sana mademu.

Ukiachana na Hilo me nina mtu wangu ambaye ninaishi nae kama mke na Mume ninampenda Sana, ananiheshimu na mimi namuheshimu,ni mtu muhimu Sana kwenye maisha yangu yeye ni kama kiungo kwenye chakula.

Sijawahi kuchepuka wala sijawahi kufikiria hicho kitu kwa namna navyompenda mtu wangu nimeamka nimekuta missed call 4 zake kwenye simu yangu.

Ndugu zangu ninashindwa sijui nitamuambiaje mtu wangu na je nikimwambia ukweli ulivyo atanielewa kwa sababu binafsi sijadhamiria kufanya hivyo na sijui kilitokea kitu gani kikatokea hicho kitu.Naombeni ushauri wenu ndugu zangu nimwambie nini mke wangu anielewe.

to yeye
Zero IQ
Yna2
financial services
Darmian
Mzigua90
Carleen
Joanah
Amehlo
DeepPond
Watu8
joseph1989
Numbisa
Shunie
Usher-smith MD
Bujibuji Simba Nyanaume
Saint Anne

NB: Naomba tusiweke masiala kwenye issue sensitive kama unataka kufanya hivyo Bora tu usicomment kabisa kwenye uzi wangu nipo serious
Sasa unaogopa nini si upige kimya
 
Nawaambiaga vijana "pombe sio mikato kabisa".
Anyways......
Kwanza nikupongeze kwa kupata free "nunu"..[emoji39] which is not easy...[emoji6]
Alafu ebu punguza kulalamika mkuu, yaani misused calls 4 ndio unakuja kunaomba ushauri..[emoji848] Wenzako wanapataga miss calls hadi 50 na sim wanazima alafu the next day wanaenda duka la madawa wananunua gozz na kujizungushia kichwani kana kwamba walipigwa ngeta...[emoji23]
Au anaenda kituoni na kumpa askari teni anaingia sero,then wife anapigiwa kuja kukudhamini
 
Mwanamke hata akikufumania unapiga mchepuko chumbani kwenu au popote, kataa kabisa kwamba sio wewe mwambie atakuwa anaota ndoto.

NEVER EVER KUMUAMBIA UKWELI MKEO KUHUSU KUCHEPUKA.
 
Hakuna haja ya kumtaarifu mpenzi wako nenda kapime vvu ujue hali ya afya yako kwanza,

sema usije kufanya uzembe kama ulioufanya Tena.
 
Habari Wana Jf wenzangu

Kuna jambo limenikuta Jana, wakati wa mida saa 4 napita kutokea kwenye mishe zangu pembezoni mwa bar moja hivi maarufu hapa Dar nikaitwa na rafiki mmoja hivi wa kike ambaye sikuonana nae muda kidogo nikaenda tukaa pale.

Binafsi sio mnywaji wa pombe tofauti na huyo dada yeye anapenda tukapiga story kazaa baada ya pale sikumbuki kilichoendelea nimejikuta nipo ghetto la huyo dada wakati nimemka leo asubuhi Tena nikiwa nipo uchi hata huyo dada hivyo hivyo.

Kwa mazingira hayo nivyoyaona sikutaka hata nimuulize je tumefanya mapenzi maana sikumbuki chochote kikichotokea kwanini nimekuwa na wasiwasi huyu demu mafaili yake nayajua ana list ndefu Sana na ameshawahi kudate na wasanii wawili maarufu wa hapa Bongo ambao wanajulikana kabisa kwakugonga Sana mademu.

Ukiachana na Hilo me nina mtu wangu ambaye ninaishi nae kama mke na Mume ninampenda Sana, ananiheshimu na mimi namuheshimu,ni mtu muhimu Sana kwenye maisha yangu yeye ni kama kiungo kwenye chakula.

Sijawahi kuchepuka wala sijawahi kufikiria hicho kitu kwa namna navyompenda mtu wangu nimeamka nimekuta missed call 4 zake kwenye simu yangu.

Ndugu zangu ninashindwa sijui nitamuambiaje mtu wangu na je nikimwambia ukweli ulivyo atanielewa kwa sababu binafsi sijadhamiria kufanya hivyo na sijui kilitokea kitu gani kikatokea hicho kitu.Naombeni ushauri wenu ndugu zangu nimwambie nini mke wangu anielewe.

to yeye
Zero IQ
Yna2
financial services
Darmian
Mzigua90
Carleen
Joanah
Amehlo
DeepPond
Watu8
joseph1989
Numbisa
Shunie
Usher-smith MD
Bujibuji Simba Nyanaume
Saint Anne

NB: Naomba tusiweke masiala kwenye issue sensitive kama unataka kufanya hivyo Bora tu usicomment kabisa kwenye uzi wangu nipo serious
Lakini si tulikubaliana hakuna kukubali ukikamatwa umechepuka hata kama umekutwa kifuani kwa mwanamke?
Inakuaje mwenzetu unataka kubleach agreement?
 
Hakuna haja ya kumtaarifu mpenzi wako nenda kapime vvu ujue hali ya afya yako kwanza,

sema usije kufanya uzembe kama ulioufanya Tena.
Samahani hivi wewe ni ndugu yake yule binti Mama Samia aliyempa cheo pale morogoro?
 
Pu_mba_v kabisa yani hii unaiita ni ishu sensitive??

Hivi we jamaa ni mwanaume kabisaa au umesingiziwa??

Hata angekukuta upo hivo hivo na uyo dem unachotakiwa kufanya ni kukataa katakata, ona ulivo zuzu eti unataka kujikamatisha kabisa.

Aisee we jamaa hupaswi kuoa, utakufa siku si zako.
 
Back
Top Bottom