Naogopa kumueleza Mke wangu ukweli kwamba nilichepuka

Naogopa kumueleza Mke wangu ukweli kwamba nilichepuka

Ulidondosha simu, na mtu akiokota imeita sana ulifanya jitihada mpaka ukaipata late sana ila uongo dhambi[emoji1787]
Umeona jinsi uongo unavyoweza sometimes kukuumbua yaani ningekuwa nipo kwenye position nzuri ya kumpokea simu zake za kwanza alivyonipigia ningejua chakumwambia hata kama sikulala home lakini yule sio mtoto eti ujapokea simu zake 4 na mchana akanipigia Mara mbili sijapokea na Cha ziada ujalala home alafu uje na utetezi wa rejareja ni ngumu kukuelewa
 
Mbona umesema wewe sio mtumiaji wa pombe, inakuaje unywe?
Alafu hakuna haja ya kumwambia huyo mkeo, komaa kiume kujieleza kwake, mwambie ulikamatwa uzururaji ukapigwa ndani, then fanya maswala ya kupima afya kama mdau mmoja alivoshauri.
 
Tunaelewa sana labda ujichanganye....mwambie sor nilitingwa na mambo mengi simu hata sikuishika...sor love,kama ulipata waswas.kuwa serious siyo una wengee.ukiona anakaza we tulia kama umekasirika kwa kutokukuelewa
Asante best kwa ushauri wako
 
Umeona jinsi uongo unavyoweza sometimes kukuumbua yaani ningekuwa nipo kwenye position nzuri ya kumpokea simu zake za kwanza alivyonipigia ningejua chakumwambia hata kama sikulala home lakini yule sio mtoto eti ujapokea simu zake 4 na mchana akanipigia Mara mbili sijapokea na Cha ziada ujalala home alafu uje na utetezi wa rejareja ni ngumu kukuelewa
Umesema ni mkeo mbona hamuishi pamoja
 
Unamwambia habari za PEP ila ye mawazo yote ni kwa demu wake,hawa watoto wa chuo hawa
Kwanza huyu nimemshtukia hamna hata kilichomtokea kajifungulia uzi achangamshe genge. Kang'angana mimi ni 20+ anajiona mdogo. Kwani wenye 29 sio 20+?
 
Kwanza huyu nimemshtukia hamna hata kilichomtokea kajifungulia uzi achangamshe genge. Kang'angana mimi ni 20+ anajiona mdogo. Kwani wenye 29 sio 20+?
Mwenyewe naona hivo,yaani mtu tangu asubuhi unaambiwa wahi hospitali et bado upoupo tu?hii ni chai!
 
Habari Wana Jf wenzangu

Kuna jambo limenikuta Jana, wakati wa mida saa 4 napita kutokea kwenye mishe zangu pembezoni mwa bar moja hivi maarufu hapa Dar nikaitwa na rafiki mmoja hivi wa kike ambaye sikuonana nae muda kidogo nikaenda tukaa pale.

Binafsi sio mnywaji wa pombe tofauti na huyo dada yeye anapenda tukapiga story kazaa baada ya pale sikumbuki kilichoendelea nimejikuta nipo ghetto la huyo dada wakati nimemka leo asubuhi Tena nikiwa nipo uchi hata huyo dada hivyo hivyo.

Kwa mazingira hayo nivyoyaona sikutaka hata nimuulize je tumefanya mapenzi maana sikumbuki chochote kikichotokea kwanini nimekuwa na wasiwasi huyu demu mafaili yake nayajua ana list ndefu Sana na ameshawahi kudate na wasanii wawili maarufu wa hapa Bongo ambao wanajulikana kabisa kwakugonga Sana mademu.

Ukiachana na Hilo me nina mtu wangu ambaye ninaishi nae kama mke na Mume ninampenda Sana, ananiheshimu na mimi namuheshimu,ni mtu muhimu Sana kwenye maisha yangu yeye ni kama kiungo kwenye chakula.

Sijawahi kuchepuka wala sijawahi kufikiria hicho kitu kwa namna navyompenda mtu wangu nimeamka nimekuta missed call 4 zake kwenye simu yangu.

Ndugu zangu ninashindwa sijui nitamuambiaje mtu wangu na je nikimwambia ukweli ulivyo atanielewa kwa sababu binafsi sijadhamiria kufanya hivyo na sijui kilitokea kitu gani kikatokea hicho kitu.Naombeni ushauri wenu ndugu zangu nimwambie nini mke wangu anielewe.

to yeye
Zero IQ
Yna2
financial services
Darmian
Mzigua90
Carleen
Joanah
Amehlo
DeepPond
Watu8
joseph1989
Numbisa
Shunie
Usher-smith MD
Bujibuji Simba Nyanaume
Saint Anne

NB: Naomba tusiweke masiala kwenye issue sensitive kama unataka kufanya hivyo Bora tu usicomment kabisa kwenye uzi wangu nipo serious
Duh mkuu jitahidi siku nyingine usikae mazingira mabaya yatakayokupelekea utende dhambi.

Shida Moja ya binadamu,huwa tunajiaminisha sana kwamba tunaweza kuikwepa dhambi kwa nguvu zetu wenyewe...yaani unajiaminisha kwamba pale siwezi ila mwisho wa siku ni majuto.


Ukweli humuweka mtu huru,ila sijui utafanyaje,
Binafsi yangu mimi siwezi kumuelewa mtu msaliti hata angenena kwa lugha Gani.
 
Issue hapa nitamuambiaje mpenzi wangu anielewe kumbuka sijalala home na nimekuta missed call 4 asubuhi na mchana kanipigia Tena sijapokea changamoto inaanzia hapa
Kesi mbona ndogo kabisa mkuu iyo?
Unashindwaje kuisolve Sasa?
Hivi huwa unapitia nyuzi zangu kweli?

Hizi kesi mbona nmeshazisolve Mara kibao sana nnapopitiwa kwa michepuko uko na kuchelewa kwa wife.
 
Sio mwanaume tu hata mimi leo siwezi kukiri kuchepuka,labda iwe red handed na penyewe naweza kataa nkisema ulifananisha sura
Kabisa mkuu,
Ukikiri unakua ushajipiga pin la maisha kwny mahusiano yako.

Watu tushasingizia Hadi tumerogwa ili tumalize hizi kesi, ila sio kukiri
 
Hapo chakumwambia ndio changamoto kumbuka sijalala home nimekuta missed 4 zake kwenye simu yangu na bado kanipigia mchana sijapokea unadhani nitamwambia nini anielewe?
Tumia diplomasia, ikishindikana Tumia udikteta.

Njia zote Ni sahii na zinasolve tatizo lako kabisa[emoji4]
 
Mtoa mada,
Wanaume Wengi tukitokaga kuchepuka tunakuaga hivi [emoji4]
tapatalk_1586311018969.jpg
 
Pole mkuu,, Ukamueleze mkeo ili iweje?? kwa sababu zipi haswa??? ukieleza hilo utakuwa umeuza utu wako, nayeye kuna siku atakujibu mapigo na ukitaka kufanya action yoyote, msamaha atakaokusamehe utatumika kama reference...

Acha ujinga(kueleza hilo kwa mkeo),, Rudi home akikuuliza mwambi jana nilipata changamoto na mshikaji,, na simu nilisahau...........,, then mwambie Pole kwa wasiwasi kwa vile sikukupa taarifa..

Usiongee sana utajikoroga.
 
Kwanza huyu nimemshtukia hamna hata kilichomtokea kajifungulia uzi achangamshe genge. Kang'angana mimi ni 20+ anajiona mdogo. Kwani wenye 29 sio 20+?
Duh! Nimegeuka kuwa muongo Tena
 
Back
Top Bottom