Naogopa kumueleza Mke wangu ukweli kwamba nilichepuka

Habari Wana Jf wenzangu

Kuna jambo limenikuta Jana, wakati wa mida saa 4 napita kutokea kwenye mishe zangu pembezoni mwa bar moja hivi maarufu hapa Dar nikaitwa na rafiki mmoja hivi wa kike ambaye sikuonana nae muda kidogo nikaenda tukaa pale.

Binafsi sio mnywaji wa pombe tofauti na huyo dada yeye anapenda tukapiga story kazaa baada ya pale sikumbuki kilichoendelea nimejikuta nipo ghetto la huyo dada wakati nimemka leo asubuhi Tena nikiwa nipo uchi hata huyo dada hivyo hivyo.

Kwa mazingira hayo nivyoyaona sikutaka hata nimuulize je tumefanya mapenzi maana sikumbuki chochote kikichotokea kwanini nimekuwa na wasiwasi huyu demu mafaili yake nayajua ana list ndefu Sana na ameshawahi kudate na wasanii wawili maarufu wa hapa Bongo ambao wanajulikana kabisa kwakugonga Sana mademu.

Ukiachana na Hilo me nina mtu wangu ambaye ninaishi nae kama mke na Mume ninampenda Sana, ananiheshimu na mimi namuheshimu,ni mtu muhimu Sana kwenye maisha yangu yeye ni kama kiungo kwenye chakula.

Sijawahi kuchepuka wala sijawahi kufikiria hicho kitu kwa namna navyompenda mtu wangu nimeamka nimekuta missed call 4 zake kwenye simu yangu.

Ndugu zangu ninashindwa sijui nitamuambiaje mtu wangu na je nikimwambia ukweli ulivyo atanielewa kwa sababu binafsi sijadhamiria kufanya hivyo na sijui kilitokea kitu gani kikatokea hicho kitu.Naombeni ushauri wenu ndugu zangu nimwambie nini mke wangu anielewe.

to yeye
Zero IQ
Yna2
financial services
Darmian
Mzigua90
Carleen
Joanah
Amehlo
DeepPond
Watu8
joseph1989
Numbisa
Shunie
Usher-smith MD
Bujibuji Simba Nyanaume
Saint Anne

NB: Naomba tusiweke masiala kwenye issue sensitive kama unataka kufanya hivyo Bora tu usicomment kabisa kwenye uzi wangu nipo serious

Wewe ni muongo! Ngono kwa mwanaume ni process hivyo huwezi kusema hujui kilichotokea.

Kwa mwanamke inawezekana ukampa kilevi ukamtanua na kufanya yako ila mwanaume lazima udindishe, utafute mbunye, umlale mwanamke na kumwaga wazungu.

Haya yote huwezi kuyafanya bila kuwa na ufahamu wa kinachoendelea.

Kawadangaye watoto.
 
Mchukue huyo dada mpeleke kituo cha afya mpime afya kisha uanze PEP kukuzuia usipate HIV ikiwa huyu dada anao.

Ila mtihani sasa ukiwa unatumia hizo dawa inabidi usikutane kimwili na mke wako mpaka dozi iishe. Sijui utapata namna gani ya kumwambia.
Unatengeneza tatizo tu, unalikuza kwa hizo siku unazomeza pep, then ukimaliza kumeza na tatizo linaisha maisha yanasonga.
 
Aise we jamaa ni mdhaifu. Kwa hiyo unataka kutuaminisha kwamba alikuwekea kilevi umefika getho kwake ukiwa haujitambui au? Kama ndivyo, uliwezaje kusimamisha? Ongea ukweli ili usaidiwe.

Halafu liwe funzo, siku nyingine usikubali wito wa marafiki usio na mpango nao.
Mwenyewe sielewi..haya mambo najuaga wanafanyiwaga wanawake...mwanaume unakuwaje unconsious[emoji849][emoji849].....udhaifu wa hali ya juu aisee so ht humo ndn ukute amebakwa
 
giphy.gif
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ndo nafahamu kuwa mwanaume anaweza kusex na asifeel kiashiria chochote cha kumuwezesha kujua kwamba alingonoka.
Anyway fuata ushauri wa wadau anza PEP kabla ya masaa 72 kupita huyo sexual partner ni high risk
 
Habari Wana Jf wenzangu

Kuna jambo limenikuta Jana, wakati wa mida saa 4 napita kutokea kwenye mishe zangu pembezoni mwa bar moja hivi maarufu hapa Dar nikaitwa na rafiki mmoja hivi wa kike ambaye sikuonana nae muda kidogo nikaenda tukaa pale.

Binafsi sio mnywaji wa pombe tofauti na huyo dada yeye anapenda tukapiga story kazaa baada ya pale sikumbuki kilichoendelea nimejikuta nipo ghetto la huyo dada wakati nimemka leo asubuhi Tena nikiwa nipo uchi hata huyo dada hivyo hivyo.

Kwa mazingira hayo nivyoyaona sikutaka hata nimuulize je tumefanya mapenzi maana sikumbuki chochote kikichotokea kwanini nimekuwa na wasiwasi huyu demu mafaili yake nayajua ana list ndefu Sana na ameshawahi kudate na wasanii wawili maarufu wa hapa Bongo ambao wanajulikana kabisa kwakugonga Sana mademu.

Ukiachana na Hilo me nina mtu wangu ambaye ninaishi nae kama mke na Mume ninampenda Sana, ananiheshimu na mimi namuheshimu,ni mtu muhimu Sana kwenye maisha yangu yeye ni kama kiungo kwenye chakula.

Sijawahi kuchepuka wala sijawahi kufikiria hicho kitu kwa namna navyompenda mtu wangu nimeamka nimekuta missed call 4 zake kwenye simu yangu.

Ndugu zangu ninashindwa sijui nitamuambiaje mtu wangu na je nikimwambia ukweli ulivyo atanielewa kwa sababu binafsi sijadhamiria kufanya hivyo na sijui kilitokea kitu gani kikatokea hicho kitu.Naombeni ushauri wenu ndugu zangu nimwambie nini mke wangu anielewe.

to yeye
Zero IQ
Yna2
financial services
Darmian
Mzigua90
Carleen
Joanah
Amehlo
DeepPond
Watu8
joseph1989
Numbisa
Shunie
Usher-smith MD
Bujibuji Simba Nyanaume
Saint Anne

NB: Naomba tusiweke masiala kwenye issue sensitive kama unataka kufanya hivyo Bora tu usicomment kabisa kwenye uzi wangu nipo serious
Duh[emoji848]
 
Nawaambiaga vijana "pombe sio mikato kabisa".
Anyways......
Kwanza nikupongeze kwa kupata free "nunu"..[emoji39] which is not easy...[emoji6]
Alafu ebu punguza kulalamika mkuu, yaani misused calls 4 ndio unakuja kunaomba ushauri..[emoji848] Wenzako wanapataga miss calls hadi 50 na sim wanazima alafu the next day wanaenda duka la madawa wananunua gozz na kujizungushia kichwani kana kwamba walipigwa ngeta...[emoji23]
[emoji23][emoji23]
 
Mwenyewe sielewi..haya mambo najuaga wanafanyiwaga wanawake...mwanaume unakuwaje unconsious[emoji849][emoji849].....udhaifu wa hali ya juu aisee so ht humo ndn ukute amebakwa

Kwani hujui jinsia ya huyu kiumbe?
 
😂😂😂😂Kwa hio mod kajigeuza mfungisha ndoa ee. anyway kasingizie ulibakwa,yaani ulizinduka tu ukakuta binti ndo anashuka zake. Kesi kwisha
Wewe ni mtu mwenye experience kubwa Sana ebu nipe ushauri wa Nini nimwambie mtu wangu anielewe
 
Mzee baba sikumbuki chochote kikichotokea huo ndio ukweli naomba ushauri wako nifanye nini?
Oya tutolee upuuzi wako hapa. Ina maana kwa ufara huo wewe unaweza kukuta hata uliliwa kiboga halafu hausemi.
 
Mkuu sijakuelewa?
Inamaana ujakamtwa ila unataka ukajisemelee kwa mpenz wako kwamba umechepuka?

Akili za wapi hizi?

Uliona wapi muibaji anaitwa mwizi bila ya kukamatwa,

Nikutoe hofu,
Wee mpk Sasa Ni mtu Safi kabisa maana hujakatwa na kidhibiti.

Tena relax na ondoa hofu kabisa[emoji4]
 
Wewe ni muongo! Ngono kwa mwanaume ni process hivyo huwezi kusema hujui kilichotokea.

Kwa mwanamke inawezekana ukampa kilevi ukamtanua na kufanya yako ila mwanaume lazima udindishe, utafute mbunye, umlale mwanamke na kumwaga wazungu.

Haya yote huwezi kuyafanya bila kuwa na ufahamu wa kinachoendelea.

Kawadangaye watoto.
Ndugu usiwe sometimes una kichwa kigumu kuelewa mbona wenzako wamerlewa vizuri ebu rudia kusoma uzi wangu alafu soma comment nikudanganye ili iweje? Kama huna chakuzungumza nivizuri ukaa kimya kuliko kuketa masiala kwenye vitu serious
 
Habari Wana Jf wenzangu

Kuna jambo limenikuta Jana, wakati wa mida saa 4 napita kutokea kwenye mishe zangu pembezoni mwa bar moja hivi maarufu hapa Dar nikaitwa na rafiki mmoja hivi wa kike ambaye sikuonana nae muda kidogo nikaenda tukaa pale.

Binafsi sio mnywaji wa pombe tofauti na huyo dada yeye anapenda tukapiga story kazaa baada ya pale sikumbuki kilichoendelea nimejikuta nipo ghetto la huyo dada wakati nimemka leo asubuhi Tena nikiwa nipo uchi hata huyo dada hivyo hivyo.

Kwa mazingira hayo nivyoyaona sikutaka hata nimuulize je tumefanya mapenzi maana sikumbuki chochote kikichotokea kwanini nimekuwa na wasiwasi huyu demu mafaili yake nayajua ana list ndefu Sana na ameshawahi kudate na wasanii wawili maarufu wa hapa Bongo ambao wanajulikana kabisa kwakugonga Sana mademu.

Ukiachana na Hilo me nina mtu wangu ambaye ninaishi nae kama mke na Mume ninampenda Sana, ananiheshimu na mimi namuheshimu,ni mtu muhimu Sana kwenye maisha yangu yeye ni kama kiungo kwenye chakula.

Sijawahi kuchepuka wala sijawahi kufikiria hicho kitu kwa namna navyompenda mtu wangu nimeamka nimekuta missed call 4 zake kwenye simu yangu.

Ndugu zangu ninashindwa sijui nitamuambiaje mtu wangu na je nikimwambia ukweli ulivyo atanielewa kwa sababu binafsi sijadhamiria kufanya hivyo na sijui kilitokea kitu gani kikatokea hicho kitu.Naombeni ushauri wenu ndugu zangu nimwambie nini mke wangu anielewe.

to yeye
Zero IQ
Yna2
financial services
Darmian
Mzigua90
Carleen
Joanah
Amehlo
DeepPond
Watu8
joseph1989
Numbisa
Shunie
Usher-smith MD
Bujibuji Simba Nyanaume
Saint Anne

NB: Naomba tusiweke masiala kwenye issue sensitive kama unataka kufanya hivyo Bora tu usicomment kabisa kwenye uzi wangu nipo serious
Ukweli utakuweka huru ila utabaki donda kwa kwa mwenzako, tafakari njia sahihi ya kulitatua hili pasipo kuumiza hisia za mwenzako nafsi yako haikupenda so ni kukaa kimya tu
 
Back
Top Bottom