Naogopa kumueleza Mke wangu ukweli kwamba nilichepuka

Naogopa kumueleza Mke wangu ukweli kwamba nilichepuka

Pole mkuu..!
Kwanza sahii upo wapi..!? Ushaingia kazini bila kwenda nyumbani..?
Fuata ushauri wa wadau hapo juu wa kutumia hizo dawa haraka na mapema kabisa..!

Japo it ain't a good thing lakini tafuta tu mbinu ya kumficha mkeo asijue chochote kilichoendelea, sababu hata akijua ukweli there is no way atakuamini, (nisingeamini pia hata ingekuwa Mimi)..!

Cha kwanza jali afya yako kisha ndiyo utafute mbinu ya kupambana na huo msala wa wifey, Pole sana natumaini umejifunza kitu..!
Asante kwa kunishauri hadi sasa sijarudi home nipo hapa kwa mshikaji wangu
 
yeye anapokusaliti uwa anakwambià, kwan ww wakiume au mwanaume. wacha ufala umwambie itamsaidia nin sasa, wew mchukue uyo mzinz mwenzio mkacheki afya ujue unaanza PrEP ama vp
 
Hivi ukimwi bado upo, si tulikubaliana covid imereplace huyo mdudu😕😕
 
kuna tukio kama hilo la kulala nje liliwahi mtokea jamaa yangu alichofanya yeye ni kuongea na askari wale wa defender wakampiga pingu wakaenda naye nyumbani kwake , walipofika wakamwambia mkewe walimkata jamaa toka jana yake anakunywa muda wa kazi akalazwa selo na wakitaka yaishe watoe elfu 50 yaishe na ndiyo mkewe mshikaji akalimaliza kwa kuwapa manjagu chao na jamaa yangu kupewa pole za kutosha na mkewe na ikawa ndiyo pona pona ya mshikaji na kuokoa ndoa yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] yaan jeshi linachezewa hivi? Nadhani tuwapeleke ukraine wakaone thamani ya jeshi
 
yeye anapokusaliti uwa anakwambià, kwan ww wakiume au mwanaume. wacha ufala umwambie itamsaidia nin sasa, wew mchukue uyo mzinz mwenzio mkacheki afya ujue unaanza PrEP ama vp
Ebu sahihisha kidogo hiyo kauli yako Mimi sio mzizi na wala sijawahi kumcheat mpenzi wangu sema Hilo tukio limetokea sikuwa na dhamira hiyo
 
Ugumu upo wapi funguka nikuongezee mbinu. Na hapa nakupa mbinu maana umetuhakikishia unampenda mke wako na unaumia kwa kilichotokea.
Kumchukua huyo dada kumpeleka kwenye kituo Cha afya hapa ndio changamoto
 
Kuna msela wangu askari naweza kumwambia asubh akakupa escort mpka kwako ionekane ulidakwa jana so ndio wamekutoa leo
 
Eti hukujielewa ukashituka uchi acha chai
 
inno umeoa lini?
Wewe nae ni mzito kuelewa huyo ni mpenzi ambaye naishi nae kama mke na Mume sijamuoa nadhani mod kaedit kwa kuweka kichwa Cha habari chake maana changu m niliweka "nimevurugwa sijui nifanyeje"
 
😂😂😂😂Kwa hio mod kajigeuza mfungisha ndoa ee. anyway kasingizie ulibakwa,yaani ulizinduka tu ukakuta binti ndo anashuka zake. Kesi kwisha
Wewe nae ni mzito kuelewa huyo ni mpenzi ambaye naishi nae kama mke na Mume sijamuoa nadhani mod kaedit kwa kuweka kichwa Cha habari chake maana changu m niliweka "nimevurugwa sijui nifanyeje"
 
Kwahiyo umebakwa?

Tuna kizazi cha wavulana wa hovyo sana yaani, bure kabisa.
 
Back
Top Bottom