Naogopa kumueleza Mke wangu ukweli kwamba nilichepuka

Sasa jambo kubwa kama hili linakutokea na hujijui, yatakutokea mangapi ya aina hii na hutajua kilichopelekea? Jitambue!
 
We jamaa kumbe ndio nyuzi zako hizo.

Inaonekana unapenda sana Mtremko

Wewe kila mwanamke unayempata lazima ulale kwake, ule kwake🤣
 
🤣🤣
 
Kamwe Mwanaume,
Usikubali kukiri kosa la kuchepuka hata ukamatwe uko Katikati ya mapaja ya mwanamke



Labda Kwa mwanamke mpumbavu lakini mwerevu akukamate live halafu ukatae kosa unazani itakusaidia?

Tena mtu ambaye anakamatwa na kosa na kukataa huwa ni mtu muovu sana wa kukaa naye mbali, ni mtu ambaye dhamiri yake ilishakufa ndani yake,

Ni ambaye anaweza kubaka hata mwanaye wa kumzaa na asione ubaya wowote ndani yake.

Msijisifie uovu ndugu zangu.

Hivi wanawake mnazani ni watoto wadogo au wajinga kiasi gani?
 
Haitaji kujua ukweli kua umechepuka...tafuta askari akutie kabatini kwa muda then ampigie simu mkeo aje akutoe kwa dhamana...kesi ndogo tu hiyo. Ukimnyosheea maelezo umekwisha.

Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke hata akikufumania unapiga mchepuko chumbani kwenu au popote, kataa kabisa kwamba sio wewe mwambie atakuwa anaota ndoto.

NEVER EVER KUMUAMBIA UKWELI MKEO KUHUSU KUCHEPUKA.



Hivi wanawake mnawachukulia Poa kwa kiasi gani kwa mfano?

Mnawachukulia kama watoto au wakubwa wenzenu?

Kwa hiyo ukikataa kosa wakati amekukamata na ushahidi unazani ndio itasaidia au sana sana utamuongezea hasira na kujua kuwa mtu wa kukataa kosa ni sawa na muuaji?

Kirahisi tu eti kataa kosa! Halafu mkeo akuelewe?!
 
Hujui athari za kukiri wewe....
Mwanamke anatabia ya kuweka vinyongo, hasa vile vya makosa uliyokiri kwa kinywa chako mwnyw.
 
Mkuu,
Wanawkae ndivyo walivyo.
Usije kamwe ukakiri kosa la kuchepuka.
Utaharibu kabisa, Bora ukatae kwa Nguvu zote
 
Mkuu,
Wanawkae ndivyo walivyo.
Usije kamwe ukakiri kosa la kuchepuka.
Utaharibu kabisa, Bora ukatae kwa Nguvu zote



Sasa ukatae wakati amekukamata na makosa live pasipo shaka na mashahidi?

Huko si kujitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe?

Yani mtu akukamate live halafu ukatae?

Aisee hasira utakazo msababishia na mwerevu ataku judge kama muuaji.

Mtu mwenye kutenda uovu mkubwa na kukataa dhamiri yake imekufa na anaweza kuua na akaona ni sawa.

Ni mtu asiye na element ya hofu ya Mungu kabisa!
 
Mkuu,
Wanawkae ndivyo walivyo.
Usije kamwe ukakiri kosa la kuchepuka.
Utaharibu kabisa, Bora ukatae kwa Nguvu zote


Sasa iwapo amejionea mwenyewe kwa macho yake huo ukiri au kukana kwako kosa kunasiadia nini?

Once imethibitika kufanya kosa kukataa kwako has nothing to do with
 
Mkuu,
Wanawkae ndivyo walivyo.
Usije kamwe ukakiri kosa la kuchepuka.
Utaharibu kabisa, Bora ukatae kwa Nguvu zote



Ndio maana nikasema Kwani wanawake mnawachukuliaje labda? Kama watoto wadogo au ?

Hata kwenye vyombo vya haki, majambazi na watu waovu mabandidu wengine hukana makosa mbele ya Polisi na mahakamani , lakini unazani huwa inasaidia?

Ilimradi ulikamatwa na kosa na ushahidi kuwepo basi ujue huponi [emoji108][emoji108]

Wajibika kwa uovu wako hakuna namna!
 
Ndo maana imeandikwa
"Muishi nao kwa akili"

Maana ake akili zao,
ASILIMIA kubwa mwenye nazo Ni wewe apo.

Wewe ndo mwenye ufunguo wa kumuongoza Ni kipi akitilie akilini Ni kipi akiache. Utakachokiri ndo icho icho atatia akilini.

JICHANGANYE UKIRI SASA,
Nna iman utaleta mrejesho kwa bonge la Uzi humu jf [emoji28]
 
Umejibu vema kabisa brother...

Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hawa viumbe unawaelewa vizuri?? Akili zao siyo kama wanavyoonekana. Mwanamke unamtengeza wewe mwanaume. Akili yake imeumbwa kufata kile anachoambiwa na mwanaume.

Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
 
Hata uko kweny vyombo vya haki,
Sio wote wanaofungwa wametenda kosa.

ASILIMIA kubwa Ni kua wameshindwa kuishawishi akili ya hakimu kukubaliana na utetezi wao.

Hapo ndo umuhimu wa mawakili huja,
Maana ake wakili anauwezo mkubwa wa kumshawishi hakimu hata Kama umefanya kosa kweli amuaminishe kua wewe Ni mtu Safi kabisa.

Kwaiyo kwa suala la ninyi wanawake,
Mawakili Ni sisi wanaume, tumejaaliwa uwezo mkubwa wa kuwashawishi nyeusi muione Ni nyeupe kabisa isiyo na doa[emoji4]
 
Mkuu hawa viumbe unawaelewa vizuri?? Akili zao siyo kama wanavyoonekana. Mwanamke unamtengeza wewe mwanaume. Akili yake imeumbwa kufata kile anachoambiwa na mwanaume.

Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Hata mungu alishasema,
Wanawake daima Watakua chini yetu na sio wawe sawa na sisi au juu yetu.

Mwanaume ukishindwa kumcontrol Mwanamke kuanzia hisia zake, mawazo yake,uchumi wake, akili yake, na kila kitu chake jua umejichimbia kaburi lako mwenyewe.

Kuna Uzi nilishawi leta humu nilifumaniwa ready handled kitandani, nikajitetea nilirogwa yule hakua Mimi kabisa.

Na Mwanamke akaamini 100% na yeye mwenyewe aleta fact kadhaa kuthibitisha yule binti nlofumaniwa nae alikua mchawi sana.

Na ugomvi ukaishia hapo hapo,
Mwanamke wangu akazidisha maombi maradufu kumkemea pepo mchafu na kuniepushia vishawishi vya mchawi yule.

Ilikua kipind hicho sijaoa bado[emoji4]
 
Mkuu umenifurahisha sana kwa mkeo kuongeza maombi...hawa viumbe lazma uwe na akili ya ziada kuwamudu.

Mwanamke anatakiwa aambiwe kile anachotaka kukisikia kutoka kwa mwanaume ili mahusiano yaendelee vema na ndio maana wanaume tumepewa koo. Si kila kitu lazma mwanamke wako ajue uhalisia wake. Kwanza unakuaje na mahusiano ambayo hayana hata matukio???

Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
 
Kwa maana hiyo, hiyo ni Chai ya tangawizi yenye mdalasini sio?

Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…