Naogopa kutendwa

Ruqaiyah

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Posts
1,118
Reaction score
1,483
Naitwa karry,nna miaka 23,binti wa kitanzania mwenye rangi ya maji ya kunde na urefu wa fut 5...nywele urefu wa mabega, si mnene wala mwembamba, sio mrembo lakini navutia,sina mpenz wala mchumba,sina mtoto wala sijawai ishi na mwanaume...nina elimu ya diploma katika maendeleo ya jamii.Napenda kusikiliza na kucheza mziki,kucheza volleyball na netball, pia napenda utani.
Nina matatizo ya kuogopa mahusiano, kila ninapopata rafiki wa kiume,hua nahisi anani cheat,....hii ilitokea nilipomwona mpenz wangu wa1 akiwa kitandani na rafiki yangu wa karibu
Sipendi kuishi nikiwa mpweke lakin kwa upande mwingine naogopa kuwa na mpenz.....
Naomben ushauri,.. nifanye nini?..
 
Hahaha mrembo tupia kapicha nikutathimin!! Kwa hiyo unatafuta play boy humu?? Cjajua unataka ushauri wa nini umejimwagia sifaaaa nyingi! Okay tukushauri nini murembooo?? Na wewe waogopa kutendwa?
 
We ingia ila kamaa mguu moja ndani moja nje
 
Nimekupendaje,
Ushauri wangu mpende sana mungu mpende sana mwanadamu mwenzako, alafu taka sana kuolewa hayo yooooote hauta yawazia sana, halafu si wana ume wote wapo kama unavyodhania, tupo wengine tunauaminifu tunajali kwa mungu na kwa mwanadamu, siku njema.
 
Pole Sana, kila umuonae unafikilia Ni yuleyule! Kuna tofauti kubwa Sana Ni sawa na maziwa na tui la nazi. Omba mungu akuongoze katika safari yako ya kumpata alie sahihi. Hatuna alama usoni za uadilifu Bali utanitambua kwa matendo na Upendo wangu.kila la kheri
 
pole sana mdada ..Ila tungewasiliana ingekuwa poa
 
hujawahi ishi na mwanaume?
..."hii ilitokea nilipomwona mpenz wangu wa1 akiwa kitandani na rafiki yangu wa karibu"
 
pole sana na upweke ulionao....mie nimekupenda tuwe marafiki npm kama uko tayari.
 
pole sana na upweke ulionao....mie nimekupenda tuwe marafiki npm kama uko tayari samahan lakin.
 
Pole sana but tambua binadamu hatufanani,njoo PM tubadilishane mawazo...
 
hujawahi ishi na mwanaume?
..."hii ilitokea nilipomwona mpenz wangu wa1 akiwa kitandani na rafiki yangu wa karibu"

Lugha gongana!
Hata mimi sijaelewa.
Come again, Karry.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…