Ruqaiyah
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 1,118
- 1,483
Naitwa karry,nna miaka 23,binti wa kitanzania mwenye rangi ya maji ya kunde na urefu wa fut 5...nywele urefu wa mabega, si mnene wala mwembamba, sio mrembo lakini navutia,sina mpenz wala mchumba,sina mtoto wala sijawai ishi na mwanaume...nina elimu ya diploma katika maendeleo ya jamii.Napenda kusikiliza na kucheza mziki,kucheza volleyball na netball, pia napenda utani.
Nina matatizo ya kuogopa mahusiano, kila ninapopata rafiki wa kiume,hua nahisi anani cheat,....hii ilitokea nilipomwona mpenz wangu wa1 akiwa kitandani na rafiki yangu wa karibu
Sipendi kuishi nikiwa mpweke lakin kwa upande mwingine naogopa kuwa na mpenz.....
Naomben ushauri,.. nifanye nini?..