Naogopa kuwa mama

Kwani kuwa mama ni lazima?
 
Kwakweli wacha niendelee kusubiri, sipendi shida jamani 🥹🥹
 
Itoshe tu kusema, mama yako kawaharibu sana. YAANI HAKUNA WATU HAPO ila kuna picha za watu.
 
Napenda lakini naogopa
Inabidi upime mapenzi yako na woga wako nini kimezidi.

Kama unaogopa kuliko unavyopenda, usiwe mama tu. Si lazima.

Kama unapenda zaidi ya unavyoogopa, tutakupetipeti uweze umama wa kutembelea magongo mpaka uwe mahiri.

Kuna jamaa mmoja alikuwa anaogopa sana kuendesha gari, akiogopa ajali.

Akaanza kujifunzia barabara ndogo, akajenga confidence, sasa hivi anapiga mpaka safari za mkoa.
 
halafu kuna mtu anajiuliza kwanini ndoa za sikuhizi hazidumu😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…